Awards: Kupata kura nyingi sio kujihakikishia ushindi

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Wasanii kadhaa wamekuwa wakilalamika ya kwamba wamekuwa na kura nyingi lakini zinapokuja kutolewa tuzo wanabaki midomo wazi na kushangaa anapata mtu mwengine, hii ishu imemkuta Huyu msanii wetu wa nyumbani akilalamika alikuwa na kura za kutosha lakini wizkidayo ndo akachaguliwa best African act na kwa sasa menejimenti yake inafuatilia vigezo walivyotumia mtv ili kupata mshindi, kurahisisha mambo baadhi ya vigezo ni hivi hapa vinavyothibitisha huenda Alikiba hakustahili kuipata hio tuzo

Kitu cha kwanza kabisa ni aina ya tuzo inayoshindaniwa, kwamfano tuzo ya best African act ambayo Ali kiba analalamika kahujumiwa licha ya kuamini alikuwa na kura za kutosha, hii best African act inaangalia msanii aliewakilisha Africa kwa kiasi kikubwa, sasa Huyu msanii wetu tunajua kabisa anafahamika nchi chache zinazohesabika hapa afrika ikiwemo nyumbani Tanzania, Kenya na Rwanda kwa mbali hapa hizi nchi ukiweka kwenye ramani y Africa bado ni chache ila ukimcheki wizkid Huyu msanii anafahamika na amewakilisha vilivyo huu mwaka Afrika ,kama ilivyo kwa msanii wetu diamond alivyoshinda hizi tuzo mwaka Jana

Kitu cha pili ni mfumo wa upigaji kura, hapa hata ali kiba angekua na kura 10,000 ambazo zote zimetokea daresalaam na mwenzie wizzy ana kura 9,000 zimetokea sehemu mbali mbali Africa basi atachukuliwa mwenye kura 9000 mana kura zimetokea sehem nyingi afrika na ukicheki tuzo inayotolewa ni African act na sio dar es salaam act..hapa nadhani pameeleweka

Kitu cha tatu ni wapigaji wa kura...kuna wapigaji wa kura wanaforce mtu flani ashinde na ndio maana mtv wanaruhusu upige kura hata mara 10 kwa mpigaji kura moja, sasa hapa unakuta teamkiba mfano wapiga kura 1,000 wanamvotia mara kumi kila moja hapo ukizidisha ni kuta 10,000 ila msanii mwengine wizikidayo anavotiwa na wapiga kura 9,00 mara moja tu na anapata kura 9,000 hapa hakuna ubishi mwenye kura nyingi ni kiba aliepata kura 10,000 kwa watu 1000 tu ila mshindi atakuwa mwenye kura 9,000 aliepigiwa na watu 9,000

Cha mwisho ni upigaji wa kura usio halali, hapa unakuta team kiba wanaazima simu za watu ili kupigishia kura, ili hili zoezi liweze kufanikiwa wapigaji kura wananunua hata vifurushi vya GB 10 ili wasikaukiwe mb za kupigia kura, sasa sehem wapiga kura hawa wanapokosea ni pale wanapoazima simu za wenzao na kuweka line zao zenye mb ili wapige kura kwenye simu za watu ,sasa wakifanya hivi system za wenzetu huko majuu zinagundua fasta kwamba Kuna laini moja inapigisha kura nyingi, kura zitahesabiwa lakini kwenye system bado itaonyesha huo ni wizi wa kura hata ule mfumo wa kupiga kura kwa Facebook watu wapo tayari kutengeneza account special kwa ajili ya kupigia kura lakini ndo hivyo tena wenzetu wapo Mbele system zao zitajua tu kuna watu wanaforce mtu Fulani apate ushindi ambao sio halali

From Day One MTV EMA walishaweka Standard Voting Rules wazi kabisa kwamba, mshindi atatangazwa na hakuna popote waliposema mshindi atawekewa mstari wa pink! Nyie watu vipi??!! Na walishasema wazi kwamba, baada ya zoezi kukamilika, MTV EMA wao wenyewe wata-tabulate kura na KUTANGAZA MSHINDI. Na wakasema wazi kwamba, endapo kwa namna yoyote wataona kuna kitu suspicious kwenye zoezi la upigaji kura... basi wao kama wao wataamua nani alistahili ushindi!!

Nadhani baada ya kusoma hapa utajuaa ni kwanini kupata idadi ya kura nyingi sio kujihakikishia ushindi

Nawasilisha
 
Tatizo sio kupakula nyingi ndio utangazwe mshindi, Tatizo kwanini kiba awekewe mstari wa pink kuoneshe yeye ndio mshindi kama washindi wengine walivyowekewa hiyo alama ya ushindi na je mwenye jukumu la kumtangaza mshindi ni nani mtvema au mtv ambao waliwahii kumpost wezzy as mshindi ili hali mtvema website ikionesha kiba mshindi na baadae kubadilisha ile alama ya pink na kumuamishia wezzy baada ya watu kulalamika na baadae wakurudisha ile alama kwa kiba kabla ya kuifuta kabisa!!
 
Wasanii kadhaa wamekuwa wakilalamika ya kwamba wamekuwa na kura nyingi lakini zinapokuja kutolewa tuzo wanabaki midomo wazi na kushangaa anapata mtu mwengine, hii ishu imemkuta Huyu msanii wetu wa nyumbani akilalamika alikuwa na kura za kutosha lakini wizkidayo ndo akachaguliwa best African act na kwa sasa menejimenti yake inafuatilia vigezo walivyotumia mtv ili kupata mshindi, kurahisisha mambo baadhi ya vigezo ni hivi hapa vinavyothibitisha huenda Alikiba hakustahili kuipata hio tuzo

Kitu cha kwanza kabisa ni aina ya tuzo inayoshindaniwa, kwamfano tuzo ya best African act ambayo Ali kiba analalamika kahujumiwa licha ya kuamini alikuwa na kura za kutosha, hii best African act inaangalia msanii aliewakilisha Africa kwa kiasi kikubwa, sasa Huyu msanii wetu tunajua kabisa anafahamika nchi chache zinazohesabika hapa afrika ikiwemo nyumbani Tanzania, Kenya na Rwanda kwa mbali hapa hizi nchi ukiweka kwenye ramani y Africa bado ni chache ila ukimcheki wizkid Huyu msanii anafahamika na amewakilisha vilivyo huu mwaka Afrika ,kama ilivyo kwa msanii wetu diamond alivyoshinda hizi tuzo mwaka Jana

Kitu cha pili ni mfumo wa upigaji kura, hapa hata ali kiba angekua na kura 10,000 ambazo zote zimetokea daresalaam na mwenzie wizzy ana kura 9,000 zimetokea sehemu mbali mbali Africa basi atachukuliwa mwenye kura 9000 mana kura zimetokea sehem nyingi afrika na ukicheki tuzo inayotolewa ni African act na sio dar es salaam act..hapa nadhani pameeleweka

Kitu cha tatu ni wapigaji wa kura...kuna wapigaji wa kura wanaforce mtu flani ashinde na ndio maana mtv wanaruhusu upige kura hata mara 10 kwa mpigaji kura moja, sasa hapa unakuta teamkiba wapata 1,000 wanamvotia Mara kumi hapo ukizidisha ni kuta 10,000 ila msanii mwengine wizikidayo anavotiwa na wapiga kura 9,00 mara moja tu na anapata kura 9,000 hapa hakuna ubishi mwenye kura nyingi ni kiba aliepata kura 10,000 kwa watu 1000 tu ila mshindi atakuwa mwenye kura 9,000 aliepigiwa na watu 9,000

Cha mwisho ni upigaji wa kura usio halali, hapa unakuta team kiba wanaazima simu za watu ili kupigishia kura, ili hili zoezi liweze kufanikiwa wapigaji kura wananunua hata vifurushi vya GB 10 ili wasikaukiwe mb za kupigia kura, sasa sehem wapiga kura hawa wanapokosea ni pale wanapoazima simu za wenzao na kuweka line zao zenye mb ili wapige kura kwenye simu za watu ,sasa wakifanya hivi system za wenzetu huko majuu zinagundua fasta kwamba Kuna laini moja inapigisha kura nyingi, kura zitahesabiwa lakini kwenye system bado itaonyesha huo ni wizi wa kura hata ule mfumo wa kupiga kura kwa Facebook watu wapo tayari kutengeneza account special kwa ajili ya kupigia kura lakini ndo hivyo tena wenzetu wapo Mbele system zao zitajua tu kuna watu wanaforce mtu Fulani apate ushindi ambao sio halali

Nadhani baada ya kusoma hapa utajuaa ni kwanini kupata idadi ya kura nyingi sio kujihakikishia ushindi

Nawasilisha

Ufafanuzi mzuri Na umeeleweka
 
Mtoa mada Una matatizo ya akili sasa swali ni kwamba Kama kura hazina nafasi kwa nn watu wapige sasa
 
Jaman tumuache king apumzike kidogo mnamuongezea stress tumuache aendelee na majukumu mengene na tuache kumpambanisha na watu waliomzidi kiwango
 
Wasanii kadhaa wamekuwa wakilalamika ya kwamba wamekuwa na kura nyingi lakini zinapokuja kutolewa tuzo wanabaki midomo wazi na kushangaa anapata mtu mwengine, hii ishu imemkuta Huyu msanii wetu wa nyumbani akilalamika alikuwa na kura za kutosha lakini wizkidayo ndo akachaguliwa best African act na kwa sasa menejimenti yake inafuatilia vigezo walivyotumia mtv ili kupata mshindi, kurahisisha mambo baadhi ya vigezo ni hivi hapa vinavyothibitisha huenda Alikiba hakustahili kuipata hio tuzo

Kitu cha kwanza kabisa ni aina ya tuzo inayoshindaniwa, kwamfano tuzo ya best African act ambayo Ali kiba analalamika kahujumiwa licha ya kuamini alikuwa na kura za kutosha, hii best African act inaangalia msanii aliewakilisha Africa kwa kiasi kikubwa, sasa Huyu msanii wetu tunajua kabisa anafahamika nchi chache zinazohesabika hapa afrika ikiwemo nyumbani Tanzania, Kenya na Rwanda kwa mbali hapa hizi nchi ukiweka kwenye ramani y Africa bado ni chache ila ukimcheki wizkid Huyu msanii anafahamika na amewakilisha vilivyo huu mwaka Afrika ,kama ilivyo kwa msanii wetu diamond alivyoshinda hizi tuzo mwaka Jana

Kitu cha pili ni mfumo wa upigaji kura, hapa hata ali kiba angekua na kura 10,000 ambazo zote zimetokea daresalaam na mwenzie wizzy ana kura 9,000 zimetokea sehemu mbali mbali Africa basi atachukuliwa mwenye kura 9000 mana kura zimetokea sehem nyingi afrika na ukicheki tuzo inayotolewa ni African act na sio dar es salaam act..hapa nadhani pameeleweka

Kitu cha tatu ni wapigaji wa kura...kuna wapigaji wa kura wanaforce mtu flani ashinde na ndio maana mtv wanaruhusu upige kura hata mara 10 kwa mpigaji kura moja, sasa hapa unakuta teamkiba mfano wapiga kura 1,000 wanamvotia mara kumi kila moja hapo ukizidisha ni kuta 10,000 ila msanii mwengine wizikidayo anavotiwa na wapiga kura 9,00 mara moja tu na anapata kura 9,000 hapa hakuna ubishi mwenye kura nyingi ni kiba aliepata kura 10,000 kwa watu 1000 tu ila mshindi atakuwa mwenye kura 9,000 aliepigiwa na watu 9,000

Cha mwisho ni upigaji wa kura usio halali, hapa unakuta team kiba wanaazima simu za watu ili kupigishia kura, ili hili zoezi liweze kufanikiwa wapigaji kura wananunua hata vifurushi vya GB 10 ili wasikaukiwe mb za kupigia kura, sasa sehem wapiga kura hawa wanapokosea ni pale wanapoazima simu za wenzao na kuweka line zao zenye mb ili wapige kura kwenye simu za watu ,sasa wakifanya hivi system za wenzetu huko majuu zinagundua fasta kwamba Kuna laini moja inapigisha kura nyingi, kura zitahesabiwa lakini kwenye system bado itaonyesha huo ni wizi wa kura hata ule mfumo wa kupiga kura kwa Facebook watu wapo tayari kutengeneza account special kwa ajili ya kupigia kura lakini ndo hivyo tena wenzetu wapo Mbele system zao zitajua tu kuna watu wanaforce mtu Fulani apate ushindi ambao sio halali

Nadhani baada ya kusoma hapa utajuaa ni kwanini kupata idadi ya kura nyingi sio kujihakikishia ushindi

Nawasilisha
Well said and understood.
 
Mtoa mada Una matatizo ya akili sasa swali ni kwamba Kama kura hazina nafasi kwa nn watu wapige sasa
Hawa watu wanafanya wenzao wajinga na wapumbavu. Hivi kwa nini wasitangaze vigezo kungali mapema? Inavyoonekana waandaaji wanakuwa wameshaandaa mtu wao atakayeshinda bila kuzingatia vigezo walivyowatangazia washindani
 
Wasanii kadhaa wamekuwa wakilalamika ya kwamba wamekuwa na kura nyingi lakini zinapokuja kutolewa tuzo wanabaki midomo wazi na kushangaa anapata mtu mwengine, hii ishu imemkuta Huyu msanii wetu wa nyumbani akilalamika alikuwa na kura za kutosha lakini wizkidayo ndo akachaguliwa best African act na kwa sasa menejimenti yake inafuatilia vigezo walivyotumia mtv ili kupata mshindi, kurahisisha mambo baadhi ya vigezo ni hivi hapa vinavyothibitisha huenda Alikiba hakustahili kuipata hio tuzo

Kitu cha kwanza kabisa ni aina ya tuzo inayoshindaniwa, kwamfano tuzo ya best African act ambayo Ali kiba analalamika kahujumiwa licha ya kuamini alikuwa na kura za kutosha, hii best African act inaangalia msanii aliewakilisha Africa kwa kiasi kikubwa, sasa Huyu msanii wetu tunajua kabisa anafahamika nchi chache zinazohesabika hapa afrika ikiwemo nyumbani Tanzania, Kenya na Rwanda kwa mbali hapa hizi nchi ukiweka kwenye ramani y Africa bado ni chache ila ukimcheki wizkid Huyu msanii anafahamika na amewakilisha vilivyo huu mwaka Afrika ,kama ilivyo kwa msanii wetu diamond alivyoshinda hizi tuzo mwaka Jana

Kitu cha pili ni mfumo wa upigaji kura, hapa hata ali kiba angekua na kura 10,000 ambazo zote zimetokea daresalaam na mwenzie wizzy ana kura 9,000 zimetokea sehemu mbali mbali Africa basi atachukuliwa mwenye kura 9000 mana kura zimetokea sehem nyingi afrika na ukicheki tuzo inayotolewa ni African act na sio dar es salaam act..hapa nadhani pameeleweka

Kitu cha tatu ni wapigaji wa kura...kuna wapigaji wa kura wanaforce mtu flani ashinde na ndio maana mtv wanaruhusu upige kura hata mara 10 kwa mpigaji kura moja, sasa hapa unakuta teamkiba mfano wapiga kura 1,000 wanamvotia mara kumi kila moja hapo ukizidisha ni kuta 10,000 ila msanii mwengine wizikidayo anavotiwa na wapiga kura 9,00 mara moja tu na anapata kura 9,000 hapa hakuna ubishi mwenye kura nyingi ni kiba aliepata kura 10,000 kwa watu 1000 tu ila mshindi atakuwa mwenye kura 9,000 aliepigiwa na watu 9,000

Cha mwisho ni upigaji wa kura usio halali, hapa unakuta team kiba wanaazima simu za watu ili kupigishia kura, ili hili zoezi liweze kufanikiwa wapigaji kura wananunua hata vifurushi vya GB 10 ili wasikaukiwe mb za kupigia kura, sasa sehem wapiga kura hawa wanapokosea ni pale wanapoazima simu za wenzao na kuweka line zao zenye mb ili wapige kura kwenye simu za watu ,sasa wakifanya hivi system za wenzetu huko majuu zinagundua fasta kwamba Kuna laini moja inapigisha kura nyingi, kura zitahesabiwa lakini kwenye system bado itaonyesha huo ni wizi wa kura hata ule mfumo wa kupiga kura kwa Facebook watu wapo tayari kutengeneza account special kwa ajili ya kupigia kura lakini ndo hivyo tena wenzetu wapo Mbele system zao zitajua tu kuna watu wanaforce mtu Fulani apate ushindi ambao sio halali

Nadhani baada ya kusoma hapa utajuaa ni kwanini kupata idadi ya kura nyingi sio kujihakikishia ushindi

Nawasilisha
swali tu dogo kma hairuhusiwi ku vote zaid ya mara moja inakuaje wana sema vote as many as you can, swali LA pili unadhan yeye weezy hana team uko kwao? au msanii gani ambae team yake haifanyi campaign y'a ku vote?
 
vote as many as you can ni strategy tu ya kujua utambulisho wako wa kina...ukivote mara moja ni kama hawakujui vizuri utambulisho wako yan inakuwa kama upo nyuna ya kioo chenye mvuke huonekani vizuri ila ukiminya pale vote mara kumi ni kama umesafisha kioo chenye mvuke na utambulisho wako unajulikana kiasi kwamba hata hio line yako ukiitumia kuvote kwenye simunyingine au kuvote kwa wizi itakuwa rahisi kukujua

swali la pili nahisi ni kuangalia tabia za team tu...kama msanii ana team yake akili za nyumbu huwa inakua rahisi sana kujua hawa nyumbu wanaforce mtu wao ashinde ndo mfano hapo mtu anakulazimisha umuazime simu anaweka line yake ileile aliyopigia kura kwenye sim yake
 
Brother unachosema sio kweli
 
sasa mbona hawakusema kabla kama tupige kura mara moja?!
na hao MTV wameshindwa japo kuiba Idea ya YouTube ambayo ukishaangalia video mara moja hata uangalie tena mara mia lakini view itabaki vilevile bila kuongezeka

Hao MTV wamezingua na wakubali kuwa kuna kamchezo walifanya..habari ndio hiyo.
 
Team Kiba kwa viroja! Wameng'ang'ania suala la mstari wa pink utadhani utaratibu ndivyo unasema kwamba mshindi atawekewa mstari wa pink!!

Nyie watu mnatakiwa kuelewa... From Day One MTV EMA walishaweka Standard Voting Rules wazi kabisa kwamba, mshindi atatangazwa na hakuna popote waliposema mshindi atawekewa mstari wa pink! Nyie watu vipi??!! Na walishasema wazi kwamba, baada ya zoezi kukamilika, MTV EMA wao wenyewe wata-tabulate kura na KUTANGAZA MSHINDI. Na wakasema wazi kwamba, endapo kwa namna yoyote wataona kuna kitu suspicious kwenye zoezi la upigaji kura... basi wao kama wao wataamua nani alistahili ushindi!!

Na ni kutokana na ukweli huo, ndio maana hakuna popote ambapo tuzo zile zimelalamikiwa zaidi ya mashabiki wa Kiba! MTV EMA hawawezi kuwa wapumbavu kiasi hicho... eti "watangaze" mshindi halafu wam-disqualify! Mnatakiwa kuelewa... Kiba hakutangazwa popote kwamba ni mshindi na mshindi alitangazwa tangia tarehe 06 huku nyie mkijikita na suala la mstari wa pink siku ya tarehe 07!
 
Kiba anapenda kulalamika lalamika tu kwa kila kitu.mwisho atasema watu wadomo ndio wamehamisha huo mstari!
 
Sijawahi ku-comment lolote kuhusu hizi team japo huwa nazisoma kidogo kuona nani mzima.

Kiba nafikiri anatatizo kubwa.Kwanza anataka ajilinganishe na Diamond kitu ambacho si sawa na hawezi kumfikia kwa style yake hii,huyu jamaa angekuwa jinsia ile nyingine sijui ingekuwaje.

Malalamishi ni mengi sometimes hata kama umeonewa(japo si kweli) inabidi uuchune iwapo umelalamika kwa mambo tofauti zaidi ya matatu.
 
Sasa EMA tayar wamekiri kua walikosea na Award ana pewa Kiba , vp bado kuna UKUTA apo?

Back
Top Bottom