Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Wasanii kadhaa wamekuwa wakilalamika ya kwamba wamekuwa na kura nyingi lakini zinapokuja kutolewa tuzo wanabaki midomo wazi na kushangaa anapata mtu mwengine, hii ishu imemkuta Huyu msanii wetu wa nyumbani akilalamika alikuwa na kura za kutosha lakini wizkidayo ndo akachaguliwa best African act na kwa sasa menejimenti yake inafuatilia vigezo walivyotumia mtv ili kupata mshindi, kurahisisha mambo baadhi ya vigezo ni hivi hapa vinavyothibitisha huenda Alikiba hakustahili kuipata hio tuzo
Kitu cha kwanza kabisa ni aina ya tuzo inayoshindaniwa, kwamfano tuzo ya best African act ambayo Ali kiba analalamika kahujumiwa licha ya kuamini alikuwa na kura za kutosha, hii best African act inaangalia msanii aliewakilisha Africa kwa kiasi kikubwa, sasa Huyu msanii wetu tunajua kabisa anafahamika nchi chache zinazohesabika hapa afrika ikiwemo nyumbani Tanzania, Kenya na Rwanda kwa mbali hapa hizi nchi ukiweka kwenye ramani y Africa bado ni chache ila ukimcheki wizkid Huyu msanii anafahamika na amewakilisha vilivyo huu mwaka Afrika ,kama ilivyo kwa msanii wetu diamond alivyoshinda hizi tuzo mwaka Jana
Kitu cha pili ni mfumo wa upigaji kura, hapa hata ali kiba angekua na kura 10,000 ambazo zote zimetokea daresalaam na mwenzie wizzy ana kura 9,000 zimetokea sehemu mbali mbali Africa basi atachukuliwa mwenye kura 9000 mana kura zimetokea sehem nyingi afrika na ukicheki tuzo inayotolewa ni African act na sio dar es salaam act..hapa nadhani pameeleweka
Kitu cha tatu ni wapigaji wa kura...kuna wapigaji wa kura wanaforce mtu flani ashinde na ndio maana mtv wanaruhusu upige kura hata mara 10 kwa mpigaji kura moja, sasa hapa unakuta teamkiba mfano wapiga kura 1,000 wanamvotia mara kumi kila moja hapo ukizidisha ni kuta 10,000 ila msanii mwengine wizikidayo anavotiwa na wapiga kura 9,00 mara moja tu na anapata kura 9,000 hapa hakuna ubishi mwenye kura nyingi ni kiba aliepata kura 10,000 kwa watu 1000 tu ila mshindi atakuwa mwenye kura 9,000 aliepigiwa na watu 9,000
Cha mwisho ni upigaji wa kura usio halali, hapa unakuta team kiba wanaazima simu za watu ili kupigishia kura, ili hili zoezi liweze kufanikiwa wapigaji kura wananunua hata vifurushi vya GB 10 ili wasikaukiwe mb za kupigia kura, sasa sehem wapiga kura hawa wanapokosea ni pale wanapoazima simu za wenzao na kuweka line zao zenye mb ili wapige kura kwenye simu za watu ,sasa wakifanya hivi system za wenzetu huko majuu zinagundua fasta kwamba Kuna laini moja inapigisha kura nyingi, kura zitahesabiwa lakini kwenye system bado itaonyesha huo ni wizi wa kura hata ule mfumo wa kupiga kura kwa Facebook watu wapo tayari kutengeneza account special kwa ajili ya kupigia kura lakini ndo hivyo tena wenzetu wapo Mbele system zao zitajua tu kuna watu wanaforce mtu Fulani apate ushindi ambao sio halali
From Day One MTV EMA walishaweka Standard Voting Rules wazi kabisa kwamba, mshindi atatangazwa na hakuna popote waliposema mshindi atawekewa mstari wa pink! Nyie watu vipi??!! Na walishasema wazi kwamba, baada ya zoezi kukamilika, MTV EMA wao wenyewe wata-tabulate kura na KUTANGAZA MSHINDI. Na wakasema wazi kwamba, endapo kwa namna yoyote wataona kuna kitu suspicious kwenye zoezi la upigaji kura... basi wao kama wao wataamua nani alistahili ushindi!!
Nadhani baada ya kusoma hapa utajuaa ni kwanini kupata idadi ya kura nyingi sio kujihakikishia ushindi
Nawasilisha