Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Nyuzi za Harmonize zimekuwa nyingi mmetumwa ku promote nyimbo sio!! Nyimbo kama kali itakiuza yenyewe tu.
Kuna dogo anaitwa Bruce Africa alitoaga nyimbo inaitwa "You my Angel" wimbo mkali sana una viewers wa kutosha lakin sikuwahi kusikia ukifanyiwa promo.