Awe vipi?

Awe vipi?

mi awe simpo tu; asinifuatilie tu nyendo zangu kama mimi ambovyo sintamfuatilia; Aaah nimesahau kuhusu figure!! asipungue cm 158.5, asiwe bonge, nywele apendavyo, rangi yoyote ile ya binadamu; ......
 
Kwa nini sifai mpendwa.
Namaanisha sipendi mwanaume mwenye wivu wa kupindukia kiasi kwamba anakuchunga kama mtoto.
Au weye ni mmoja wa hao wanaume nnaowasema?
Achana nae huyo ,mara nyingi wanaume wa hivyo wanakuwa vicheche kinoma.hongera baby.
 
ila isiwe na wewe ni kicheche ,uwe unajiamini kwa umpendae kwanini hutaki aguse cm yako?
 
Wanaume twatakiwa kuwapenda wanawake(kumpenda tu) ila sio kumfuatilia, wanawake wanatakiwa wawa 'heshimu tu' wanaume zao.

hiyo principle alinigea babu................................................................itumieni
 
Ok basi leo ukikuta nikimpigia mkeo simu sukiu wa manane usishtuke na nikituma msg ya I miss here my ..... naye akawa anahangaika kuifuta usiku huo nyamaza NYAMA!
 
masikini jeuri? mi nilikua namahanisha kutokumfuatilia ni kutokudadisi kwa sana each and every step of your GF.Sasa kama wewe midume inakuja kumchukua mbele yako we unanyamaza tu , mi simo.mkuu ucchukue kama ilivyo.
 
I want a girl who will and must challenge me to the highest degree by completely honest criticism...
When she is dissapointed with me, she must not withdraw her confidence in me...
She must help me untiringly to overcome my weaknesses...
She must never pretend, but must tell me honestly when I have hurt her...
I also want a girl who is herself!!!
I could say many things... But I can conclude all these things by saying, "I want a girl who will love me for 'who' I am, and not 'what' I am..."
 
Na Mwanaume hakurupuki tuu from no where kuanza ufukunyuzi lazima ameona moshi ama amenusa harufu mbaya! Its good to satisfy your ego and trust your instincts!
 
I want a girl who will and must challenge me to the highest degree by completely honest criticism...
When she is dissapointed with me, she must not withdraw her confidence in me...
She must help me untiringly to overcome my weaknesses...
She must never pretend, but must tell me honestly when I have hurt her...
I also want a girl who is herself!!!
I could say many things... But I can conclude all these things by saying, "I want a girl who will love me for 'who' I am, and not 'what' I am..."

Hapo kwenye red ni muhimu kuliko vyote!

Nawe uwe tayari kuyafanya hayo kwake!
Ubarikiwe!
 
Kwanza awe mcha Mungu asiwe mtu wa kwenda kwa waganga maisha yanapomsonga

Pili awe mwenye kupenda kukosolewa na pia kunikosoa mimi kwa lengo la kuwa na mabadiliko chanya

Tatu aweze kunisaidia katika kuyaepuka madhaifu yangu ambayo yanaweza kuwa katika mfumo dume niliokulia na sio kukimbilia kuwatangazia ndugu na marafiki zake

Na mengine mengi
 
Ila Cha Muhimu kwa wasoma Biblia wakasome MITHALI 31 yote

Itakufafanulia zaidi aina gani ya mwanamke anafaa kuolewa
 
Wacheni niwaambie!!!!!, siku Zote Mwanamke apenda Mwanaume alie na wanawake wengi (Apendwae na wengi, akiwa na sifa mbali mbali....)

Mwanamume nae apenda mwanamke msumbufu!!, atongozwa lakini dii...., apenda kushindana shinda na mwanaume hata kwenye gamee........)
 
Kwanza awe mcha Mungu asiwe mtu wa kwenda kwa waganga maisha yanapomsonga

Ndugu umegusa penyewe; hivi jamani mnajua hii kitu inachukua kasi sana tena miongoni mwetu wasomi! siku moja nikiwa nakwenda kumwona ndugu yangu kule MbeziTemboni anayeishi jirani na Mama mmoja mganga wa kienyeji, akina dada wa3 ambao waliniomba msaada na nilipojua wanaelekea upande mmoja na ninakoelekea sikukuataa. na ilivyokuwa kina dada hawa walikuwa wanafika kwa jirani yake ndugu yangu ambaye ni Mganga wa kienyeji! Sikuamini ukiwaona na staha walizonazo na aina ya mazungumzo yao kwa muda mfupi walionekana ni watu wenye elimu zao. Nilipofika kwa ndugu yangu na kumsimulia mkasa ule akasema nisistaajabu kwani ningekwenda kule weekend ningeshangaa zadi ya niliyoyaona siku hiyo! Na hiyo ni Dar ndugu zanguni; je huku Igangitoroli na Wanging'ombe hali ikoje?

Inasikitisha.
 
nimewapateni dada Rose(unajina la dada yangu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa) na Sumbalanyiro, BIG UP. lakini mi nilikua nataka zile deep and love oriented. Rose (1980) ndo mwaka wako wa kuzaliwaaaaaaa?

haitwi hivyo anaitwa Sumbalawinyo....khaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom