Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nae huyo ,mara nyingi wanaume wa hivyo wanakuwa vicheche kinoma.hongera baby.Kwa nini sifai mpendwa.
Namaanisha sipendi mwanaume mwenye wivu wa kupindukia kiasi kwamba anakuchunga kama mtoto.
Au weye ni mmoja wa hao wanaume nnaowasema?
Wanaume twatakiwa kuwapenda wanawake(kumpenda tu) ila sio kumfuatilia, wanawake wanatakiwa wawa 'heshimu tu' wanaume zao.
hiyo principle alinigea babu................................................................itumieni
masikini jeuri? mi nilikua namahanisha kutokumfuatilia ni kutokudadisi kwa sana each and every step of your GF.Sasa kama wewe midume inakuja kumchukua mbele yako we unanyamaza tu , mi simo.mkuu ucchukue kama ilivyo.
I want a girl who will and must challenge me to the highest degree by completely honest criticism...
When she is dissapointed with me, she must not withdraw her confidence in me...
She must help me untiringly to overcome my weaknesses...
She must never pretend, but must tell me honestly when I have hurt her...
I also want a girl who is herself!!!
I could say many things... But I can conclude all these things by saying, "I want a girl who will love me for 'who' I am, and not 'what' I am..."
Hapo kwenye red ni muhimu kuliko vyote!
Nawe uwe tayari kuyafanya hayo kwake!
Ubarikiwe!
Kwanza awe mcha Mungu asiwe mtu wa kwenda kwa waganga maisha yanapomsonga
nimewapateni dada Rose(unajina la dada yangu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa) na Sumbalanyiro, BIG UP. lakini mi nilikua nataka zile deep and love oriented. Rose (1980) ndo mwaka wako wa kuzaliwaaaaaaa?