Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Akili ndogo ya wanaotutawala.
"machozi ya mamba" hayo.I so wish hayo machozi yangeombewa yakawa mafuriko tukapata maji, ila hayo machozi hayana msaada kwetu, akishalia anapanda kwenye VX ambayo thamani yake ni sawa na : Visima virefu 50 vya maji.
๐ ๐ ana ujinga mwingi sana...bado kidogo aseme mabeberu ndio chanzoAweso kuna siri anaijuwa vizuri kuhusu hii ishu ya maji, kulia kwake kunaaishiria jambo fulani lipo nyuma yake!
๐๐ฐ๐๐ง๐ข๐ง๐ข ๐ฅ๐ข๐๐ก๐ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐ข๐๐ค๐ 64 ๐ฒ๐ ๐ฎ๐ก๐ฎ๐ซ๐ฎ ๐๐๐๐จ ๐ฆ๐๐ฃ๐ข ๐ง๐ข ๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ฆ๐จ๐ญ๐จ?,๐๐๐ณ๐ข๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ฃ๐ข ๐๐ฐ๐๐ฌ๐จ ๐๐ฆ๐ฐ๐๐ ๐ ๐ฆ๐๐๐ก๐จ๐ณ๐ข ๐ฆ๐๐๐ฅ๐ ๐ฒ๐ ๐๐๐ฅ๐ข๐ฆ ๐๐ข๐ค๐๐ค๐
WAZIRI boya kabisa...Aweso kuna siri anaijuwa vizuri kuhusu hii ishu ya maji, kulia kwake kunaaishiria jambo fulani lipo nyuma yake!
๐๐ฐ๐๐ง๐ข๐ง๐ข ๐ฅ๐ข๐๐ก๐ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐ข๐๐ค๐ 64 ๐ฒ๐ ๐ฎ๐ก๐ฎ๐ซ๐ฎ ๐๐๐๐จ ๐ฆ๐๐ฃ๐ข ๐ง๐ข ๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ฆ๐จ๐ญ๐จ?,๐๐๐ณ๐ข๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ฃ๐ข ๐๐ฐ๐๐ฌ๐จ ๐๐ฆ๐ฐ๐๐ ๐ ๐ฆ๐๐๐ก๐จ๐ณ๐ข ๐ฆ๐๐๐ฅ๐ ๐ฒ๐ ๐๐๐ฅ๐ข๐ฆ ๐๐ข๐ค๐๐ค๐
Wewe rudi nyumbani kumenogaWenye akili kubwa mmekubali vp kutawaliwa na akili ndogo? Unaweza kubali kichaa akuendeshe kwenye gari?
Tatizo la maji si bwawa wala mto ruvu.Tatizo la maji kuendelea kuwepo katika Jiji la Dar es Salaam hadi sasa wa kulaumiwa ni jiwe japo wengi watabisha au hawajui. Uchambuzi wa kimazingira wa Bwawa la Kidunda ulikamilika 2008. Mzee wa Msoga alilipa fidia kwa wakazi na vijiji vilivyohamishwa kupisha bwawa. Maandalizi yote ya ujenzi wake yalikuwa set wakati Mzee wa Msoga anaondoka. Jiwe kwa umimi wake na ubinafsi wa kutoendeleza miradi ya mtangulizi wake, akaachana na mradi huo, badala yake aliweka siasa eti kuna watu ndio wanasababisha uhaba (artificial scarcity) kwa makusudi. Haya ndiyo matokeo yake sasa. Mnayemchukia alipoingia ndio kaufufua huo mradi na ndio utakaopunguza uhaba wa maji Dar es Salaam na Pwani. Suluhu ya muda mrefu ni kuleta maji ya kutoka Bwawa la Mwalimu Nyerere.