Aweso amwaga chozi kisa kuulizwa “Kwanini licha ya miaka 64 ya uhuru bado maji ni changamoto?”

Sio mali ya CCM lakini huwezi kuongoza Tanzania bila ya kushindana na kuishinda CCM. Vyama 16 vimeshiriki uchaguzi mkuu nyinyi kina nani mpewe heshima msiyostahili?.

Mlitaka uchaguzi ufanyike bila ya wakurugenzi kusimamia, mwaka huu hakuna mkurugenzi aliyesimamia uchaguzi.

Mnapoishiwa hoja mnakuja na matusi na lugha za dhihaka, haiwasaidii chochote. Muwe wapole tu.
Sikiliza wewe mjinga, Tanganyika ilikuwepo kabla ya CCM. CCM ni chama tu cha siasa, hakina hata miaka 70. Kimechoka, kimepoteza nguvu ya umma, na leo kinaendeshwa zaidi na vyombo vya dola kuliko ridhaa ya wananchi. Hicho ndicho chama unachokipigania kwa ujinga mkubwa. Nyinyi ni wajinga wa kutupwa kwa sababu badala ya kuwekeza kwenye kizazi kipya Gen Z na Gen Alpha mmeamua kuwaua kisiasa, kiakili na kimaendeleo. Mmeamua kupandikiza chuki kubwa ya vijana dhidi ya CCM. Hawa vijana mnawaona leo mkiwadharau, lakini baada ya miaka 20 au 30 ndiyo watakaoshikilia uchumi wa nchi hii, maamuzi ya kisiasa, na hatima ya taifa. Kama kweli siasa ni “game”, basi CCM mmepigwa vibaya sana. Mmecheza game ya kijinga ya muda mfupi, wakati wengine wanaangalia mikakati ya miaka 20 na zaidi. CHADEMA imewabeat mbali sana kwenye fikra, mitazamo, na uelewa wa kizazi kijacho. Nyinyi bado mnaendesha siasa za vitisho, hofu, na mabavu siasa za enzi za mawe.

Wewe binafsi unaonekana hutumii akili ya kufikiri kwa kina, bali akili za kuvukia barabara. Unaunga mkono mfumo unaowalemaza vijana, unaowafungia milango ya fursa, halafu unategemea chama chenu kipate nguvu ya kudumu. Huo ni ujinga mtupu. Zaidi ya hapo, mmeanza hata kutengeneza mpasuko wa kimawazo ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuvivuta kwenye siasa chafu. Huo ni upumbavu wa hali ya juu na ni hatari kwa nchi. Unadhani mifumo hii ikivunjika madhara yatamwangukia nani? Nyinyi kwanza.

Amka wewe. Acha ujinga. Siasa ni akili, mipango ya muda mrefu, na kuheshimu watu. Kwa mwenendo huu, CCM mnajiua wenyewe, na nyinyi mnaoshangilia leo mtabaki kushangaa kesho.
 
Aweso kuna siri anaijuwa vizuri kuhusu hii ishu ya maji, kulia kwake kunaaishiria jambo fulani lipo nyuma yake!

𝐊𝐰𝐚𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐥𝐢𝐜𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 64 𝐲𝐚 𝐮𝐡𝐮𝐫𝐮 𝐛𝐚𝐝𝐨 𝐦𝐚𝐣𝐢 𝐧𝐢 𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐦𝐨𝐭𝐨?,𝐖𝐚𝐳𝐢𝐫𝐢 𝐰𝐚 𝐌𝐚𝐣𝐢 𝐀𝐰𝐞𝐬𝐨 𝐀𝐦𝐰𝐚𝐠𝐚 𝐦𝐚𝐜𝐡𝐨𝐳𝐢 𝐦𝐛𝐞𝐥𝐞 𝐲𝐚 𝐒𝐚𝐥𝐢𝐦 𝐊𝐢𝐤𝐞𝐤𝐞

Swali ni kuwa kwa nini tuamini kuwa chama ambacho kimeshindwa kutatua tatizo la maji kwa miaka 64 litaweza kulitatua ndani ya miaka mitano?

Amandla...
 
Sikiliza wewe mjinga, Tanganyika ilikuwepo kabla ya CCM. CCM ni chama tu cha siasa, hakina hata miaka 70. Kimechoka, kimepoteza nguvu ya umma, na leo kinaendeshwa zaidi na vyombo vya dola kuliko ridhaa ya wananchi. Hicho ndicho chama unachokipigania kwa ujinga mkubwa. Nyinyi ni wajinga wa kutupwa kwa sababu badala ya kuwekeza kwenye kizazi kipya Gen Z na Gen Alpha mmeamua kuwaua kisiasa, kiakili na kimaendeleo. Mmeamua kupandikiza chuki kubwa ya vijana dhidi ya CCM. Hawa vijana mnawaona leo mkiwadharau, lakini baada ya miaka 20 au 30 ndiyo watakaoshikilia uchumi wa nchi hii, maamuzi ya kisiasa, na hatima ya taifa. Kama kweli siasa ni “game”, basi CCM mmepigwa vibaya sana. Mmecheza game ya kijinga ya muda mfupi, wakati wengine wanaangalia mikakati ya miaka 20 na zaidi. CHADEMA imewabeat mbali sana kwenye fikra, mitazamo, na uelewa wa kizazi kijacho. Nyinyi bado mnaendesha siasa za vitisho, hofu, na mabavu siasa za enzi za mawe.

Wewe binafsi unaonekana hutumii akili ya kufikiri kwa kina, bali akili za kuvukia barabara. Unaunga mkono mfumo unaowalemaza vijana, unaowafungia milango ya fursa, halafu unategemea chama chenu kipate nguvu ya kudumu. Huo ni ujinga mtupu. Zaidi ya hapo, mmeanza hata kutengeneza mpasuko wa kimawazo ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuvivuta kwenye siasa chafu. Huo ni upumbavu wa hali ya juu na ni hatari kwa nchi. Unadhani mifumo hii ikivunjika madhara yatamwangukia nani? Nyinyi kwanza.

Amka wewe. Acha ujinga. Siasa ni akili, mipango ya muda mrefu, na kuheshimu watu. Kwa mwenendo huu, CCM mnajiua wenyewe, na nyinyi mnaoshangilia leo mtabaki kushangaa kesho.
Punguza jazba hazikusaidii chochote. CCM haijachoka usihukumu kwa kutazama mbinu za kujaribu kuidhoofisha zinazotokea nje ya nchi.

Hakuna chama kilichochoka chenye uwezo wa kutimiza yote yanayoandikwa kwenye ilani ya uchaguzi. Gen Z akili hawana kabisa wanaongozwa na mihemko walikuwa hawaifahamu nguvu ya kiulinzi ya Tanzania sasa wataendelea kukua kiumri wakiwa na ushuhuda wa kile walichokutana nacho tarehe 29 October.

CCM imefanya na inafanya mengi sana inaendelea kuifungua Tanzania, wale wenye kuongozwa na hekima na busara wanaelewa nini kinafanyika, vijana wa instagram na facebook wanaoshikiwa akili na Mange pamoja na Maria Sarungi hawawezi kuelewa upana wa kinachofanyika.

Watu wanaheshimiwa na wataendelea kuheshimiwa, hao ndio waliomka mapema asubuhi wakapiga kura kwa wingi, wanajua nini kinachofanyika kwenye maisha yao tofauti na hawa watoto wa miaka ya 2000-2003 wasiojua mengi yanayofanyika katika mikoa yote ya Tanzania.
 
Wenye akili kubwa mmekubali vp kutawaliwa na akili ndogo? Unaweza kubali kichaa akuendeshe kwenye gari?
Plato, Karl Max, Aristotal, Newton, Eistain na other great philosophers walitawala wapi. Problem wenye akili ni wachache wajinga ni wengi ambao hilo kundi la wajinga wanashangilia watawala wajinga kama wao.
 
Punguza jazba hazikusaidii chochote. CCM haijachoka usihukumu kwa kutazama mbinu za kujaribu kuidhoofisha zinazotokea nje ya nchi.

Hakuna chama kilichochoka chenye uwezo wa kutimiza yote yanayoandikwa kwenye ilani ya uchaguzi. Gen Z akili hawana kabisa wanaongozwa na mihemko walikuwa hawaifahamu nguvu ya kiulinzi ya Tanzania sasa wataendelea kukua kiumri wakiwa na ushuhuda wa kile walichokutana nacho tarehe 29 October.

CCM imefanya na inafanya mengi sana inaendelea kuifungua Tanzania, wale wenye kuongozwa na hekima na busara wanaelewa nini kinafanyika, vijana wa instagram na facebook wanaoshikiwa akili na Mange pamoja na Maria Sarungi hawawezi kuelewa upana wa kinachofanyika.

Watu wanaheshimiwa na wataendelea kuheshimiwa, hao ndio waliomka mapema asubuhi wakapiga kura kwa wingi, wanajua nini kinachofanyika kwenye maisha yao tofauti na hawa watoto wa miaka ya 2000-2003 wasiojua mengi yanayofanyika katika mikoa yote ya Tanzania.
CCM inaendelea kufungua Tanzania! ? Labda kama inafungua makalio Yako. Sibishani na kichaa useless 🚮🚮
 
Ni mpumbavu tu anaweza kufa kwa kiu ya maji akiwa mtoni

Huyu pimbi anamlilia nani yani swala dogo km hilo la maji unatoa michozi?
Serikalini mmejaza mandugu zenu unategemea nini?

Serikali haramu imejaza mapimbi nenda kawalilie wake zako wakupe minze pimbi kiazi bogus..
 
Tatizo la maji sio dar tu...
Kilimanjaro na milima yake bado kuna watu maji ya bomba kwao ni anasa!

Suala la gridi ya Taifa ya maji lingepewa kipaumbele, na mabomba mengi tunazalisha ndani kipindi hiki,tungetoa ajira nyingi sana kwa vijana wetu katika kipindi cha mradi na ndani ya miaka mitatu tungeanza kuona mabadiliko makubwa mnoo katika upatikanaji wa maji.

Issue ni nini kipaumbele cha Serikali?
Political will inahitajika sana hapa, Huyu Wazir Aweso tutamuonea bure tu, bila huko juu kukubali haya yeye sauti yake ni ndogo bado!

huko juu inaonekana dhahiri mntakiwa mkomeshwe kwa kumpinga bi. msumi na kumkosesha raha. Hilo limefanyika kusudikale🤣
 
Back
Top Bottom