Aweso amwaga chozi kisa kuulizwa “Kwanini licha ya miaka 64 ya uhuru bado maji ni changamoto?”

Tatizo la maji kuendelea kuwepo katika Jiji la Dar es Salaam hadi sasa wa kulaumiwa ni jiwe japo wengi watabisha au hawajui. Uchambuzi wa kimazingira wa Bwawa la Kidunda ulikamilika 2008. Mzee wa Msoga alilipa fidia kwa wakazi na vijiji vilivyohamishwa kupisha bwawa. Maandalizi yote ya ujenzi wake yalikuwa set wakati Mzee wa Msoga anaondoka. Jiwe kwa umimi wake na ubinafsi wa kutoendeleza miradi ya mtangulizi wake, akaachana na mradi huo, badala yake aliweka siasa eti kuna watu ndio wanasababisha uhaba (artificial scarcity) kwa makusudi. Haya ndiyo matokeo yake sasa. Mnayemchukia alipoingia ndio kaufufua huo mradi na ndio utakaopunguza uhaba wa maji Dar es Salaam na Pwani. Suluhu ya muda mrefu ni kuleta maji ya kutoka Bwawa la Mwalimu Nyerere.
Upuuzi mtupu
2008 magu kaingia 2015 tena kazi ni 2016 Zimo kweli
 
Umesoma kwa kuelewa au kwa kubisha tu? Plan ya hilo bwawa ni tangu miaka 1950 wakati mtambo wa maji wa Ruvu unajengwa. Mwaka 2008 kukafanyika tathmini upya ya kimazingira. Mwaka 2011, mradi ukaingizwa kwenye plan ya miaka mitano ili lijengwe. Ulipaji wa fidia ulianza. Mwaka 2014, wananchi walilalamika kutolipwa fidia ipasavyo.

Tathmini ya kulipa fidia kwa waliolalamika ikafanyika ili ujenzi uanze 2016-2019. Jiwe alipoingia, akaachana na mpango wa kulipa fidia kwa waliolalamika na kuachana na ujenzi wake mazima. 2023, Rais Samia akalipa fidia kwa hao waliolalamika na kuanza ujenzi wake kwa maturation ya kukamilika 2026. Wanyonge wanyongeni, ila haki zao wapeni.
 
Aweso kuna siri anaijuwa vizuri kuhusu hii ishu ya maji, kulia kwake kunaaishiria jambo fulani lipo nyuma yake!

𝐊𝐰𝐚𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐥𝐢𝐜𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 64 𝐲𝐚 𝐮𝐡𝐮𝐫𝐮 𝐛𝐚𝐝𝐨 𝐦𝐚𝐣𝐢 𝐧𝐢 𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐦𝐨𝐭𝐨?,𝐖𝐚𝐳𝐢𝐫𝐢 𝐰𝐚 𝐌𝐚𝐣𝐢 𝐀𝐰𝐞𝐬𝐨 𝐀𝐦𝐰𝐚𝐠𝐚 𝐦𝐚𝐜𝐡𝐨𝐳𝐢 𝐦𝐛𝐞𝐥𝐞 𝐲𝐚 𝐒𝐚𝐥𝐢𝐦 𝐊𝐢𝐤𝐞𝐤𝐞

Baada ya kulia,angetafuta solutions. Zile gari za kina Abdul (kodi za watanzania)ni reserves ngapi ? Ili kutunza maji mvua zikinyesha na kuyatumia kipindi kikavu?
 
Uchuro
 
Attachments

  • images (28).jpeg
    images (28).jpeg
    21.5 KB · Views: 21
Machozi ni kuogopa ugali usije mwagika, hamana lolote hata sehemu zenye mazima makubwa nao hawana maji aibu.
 
Wenye akili kubwa mmekubali vp kutawaliwa na akili ndogo? Unaweza kubali kichaa akuendeshe kwenye gari?
Tutawaondoa tu hao wenye akili ndogo.tujipe muda tu.Maana wenye akili ndogo Wana Hadi jeshi lenye akili ndogo ambalo lenyewe kuua linaona ni sawa tu.Ipo tu siku hao vichaa tutawaondoa
 
Akili ndogo ya wanaotutawala.
+Akili ndogo ya wanaotawaliwa,hivi wameyaamini machozi ya aweso🤣🤣,mi mwanasiasa wa TZ hata akijikata atoe damu ,ntalazimika nikapime lab kama Ni damu kweli,,,hapo ukichukua notebook utakuta kaandika,

Kuwateka watazamaji "Leo Ntalia"

Na aliporudi kwenye gari am sure alimuuliza dereva vipi mtandaoni,wanasemaje nilivolia🤣🤣
 
Aweso kuna siri anaijuwa vizuri kuhusu hii ishu ya maji, kulia kwake kunaaishiria jambo fulani lipo nyuma yake!

𝐊𝐰𝐚𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐥𝐢𝐜𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 64 𝐲𝐚 𝐮𝐡𝐮𝐫𝐮 𝐛𝐚𝐝𝐨 𝐦𝐚𝐣𝐢 𝐧𝐢 𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐦𝐨𝐭𝐨?,𝐖𝐚𝐳𝐢𝐫𝐢 𝐰𝐚 𝐌𝐚𝐣𝐢 𝐀𝐰𝐞𝐬𝐨 𝐀𝐦𝐰𝐚𝐠𝐚 𝐦𝐚𝐜𝐡𝐨𝐳𝐢 𝐦𝐛𝐞𝐥𝐞 𝐲𝐚 𝐒𝐚𝐥𝐢𝐦 𝐊𝐢𝐤𝐞𝐤𝐞

Huyu Aweso ni kijana mdogo kamaliza University si zaidi ya miaka 8 au 10.
Si mhandisi wala planner.
Kwa kifupi anaenda na upepo wa kisiasa tu.
Mambo mengine ni mazito kwake.
 
Aweso aache ujinga, kwanza huyu ni waziri Haramu wa Serikali Haramu.

Siku hizi mawaziri wanachofanya ni kuonekana kwenye press Kila kukicha, wanatoka kurasimisha utawala huu Haramu, matatizo mengi yanatengenezwa/yatatengenezwa kuwafanya Hawa maharamia kuonekana zaidi kwa wananchi.
Samia rais,Kodi zinalipwa kupitia tra, maisha yanasonga ka kawaida,kama unaumia sana nenda kwa ruwaichi akutie mimba
 
Nchi yetu tunapokosea ni mahali padogo sana; viongozi tulionao hawaoni sababu ya kuwajibika kwanza hawatokani na wananchi na hivyo hawaoni sababu ya kuwajibika kwao, pili wanajua kabisa wa kuamua hatima ya uongozi wao si wananchi

Wao wanajua wakuwawezesha kushika madaraka ni kamati kuu ya CCM hivyo wanakula nao sahani moja, halafu wanajua kabisa wakitaka uwaziri wa kudeal naye ni Rais, hivyo wanahakikisha wanamsifia hata akijamba ilimradi asiwasahau katika uteuzi.

Hapo ndo tulipofeli, madaraka hayatoki kwa wananchi hivyo hawaoni sababu ya kuwatumikia

Fikiria mji kama wa Morogoro ulivyo na vyanzo vingi vya maji na pale mjini palivyokuwa padogo lakini bado mitaa mingi haina maji kabisa kabisa kiasi cha watu kulazimika kununua maji ya chumvi kutoka kwenye visima vilivyochimbwa kwa mkono
 
Aweso kuna siri anaijuwa vizuri kuhusu hii ishu ya maji, kulia kwake kunaaishiria jambo fulani lipo nyuma yake!

𝐊𝐰𝐚𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐥𝐢𝐜𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 64 𝐲𝐚 𝐮𝐡𝐮𝐫𝐮 𝐛𝐚𝐝𝐨 𝐦𝐚𝐣𝐢 𝐧𝐢 𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐦𝐨𝐭𝐨?,𝐖𝐚𝐳𝐢𝐫𝐢 𝐰𝐚 𝐌𝐚𝐣𝐢 𝐀𝐰𝐞𝐬𝐨 𝐀𝐦𝐰𝐚𝐠𝐚 𝐦𝐚𝐜𝐡𝐨𝐳𝐢 𝐦𝐛𝐞𝐥𝐞 𝐲𝐚 𝐒𝐚𝐥𝐢𝐦 𝐊𝐢𝐤𝐞𝐤𝐞

Akili yake kubwa ni kuoa wake wengi
Unalia kipuuzi hivyo
Sasa wa mama wafanyeje wanaokosa maji ya kuoga
 
Mwanza maji ni shida kwa iyo
Tatizo la maji kuendelea kuwepo katika Jiji la Dar es Salaam hadi sasa wa kulaumiwa ni jiwe japo wengi watabisha au hawajui. Uchambuzi wa kimazingira wa Bwawa la Kidunda ulikamilika 2008. Mzee wa Msoga alilipa fidia kwa wakazi na vijiji vilivyohamishwa kupisha bwawa. Maandalizi yote ya ujenzi wake yalikuwa set wakati Mzee wa Msoga anaondoka. Jiwe kwa umimi wake na ubinafsi wa kutoendeleza miradi ya mtangulizi wake, akaachana na mradi huo, badala yake aliweka siasa eti kuna watu ndio wanasababisha uhaba (artificial scarcity) kwa makusudi. Haya ndiyo matokeo yake sasa. Mnayemchukia alipoingia ndio kaufufua huo mradi na ndio utakaopunguza uhaba wa maji Dar es Salaam na Pwani. Suluhu ya muda mrefu ni kuleta maji ya kutoka Bwawa la Mwalimu Nyerere.
Maji mwanza ni tatizo napo wamlaumu jiwe?
 
Wenye akili kubwa mmekubali vp kutawaliwa na akili ndogo? Unaweza kubali kichaa akuendeshe kwenye gari?

Hatujakubali ndio maana unaona ujumbe umetumwa Oktoba 29.

Kile ulichokiona Oktaba 29 ni jitihada za kukataa kuongozwa na akili ndogo.

Mapambano dhidi ya akili ndogo, akili iliyotufikisha hapa yanaendelea. Mbinu zote " Active" na "Passive" resistance zinatumika kuikataa akili ndogo.
 
Aweso aache ujinga, kwanza huyu ni waziri Haramu wa Serikali Haramu.

Siku hizi mawaziri wanachofanya ni kuonekana kwenye press Kila kukicha, wanatoka kurasimisha utawala huu Haramu, matatizo mengi yanatengenezwa/yatatengenezwa kuwafanya Hawa maharamia kuonekana zaidi kwa wananchi.
Hakuna serikali haramu, mlisusia uchaguzi mkadhani hakuna wengine watakaoingia kwenye mchakato.

Mkataka kuuharibu uchaguzi mmefanya mambo ya kipuuzi sana yote ili nchi isitawalike!. No reform imekufa kifo cha kawaida.

Ujinga wote kumbe mnataka wazungu wapewe nchi eti hamna imani na serikali ya CCM, yaani wale machoko wa Uingereza ndio waje kutuongoza!. Mnaona kwa namna gani mmekosa busara na hekima.

Vyama 16 vimeshiriki uchaguzi nyinyi endeleeni kususa na kuandika matamko yenye harshtags nyingi ambazo haziwezi kuwasaidia kwa namna yoyote ile.
 
Huna akili nchi hii sio ya CCM ni ya watanganyika wote hamna hati miliki ya nchi hii utakufa na CCM itakufa ila Tanganyika itabakia milele na milele, mjinga mmoja unayelipwa kueneza propaganda za kijinga huna huelewa wala maono akili Yako inaendeshwa na njaa na umasikini wa kifikra, kimwili na kiroho, pumbaf
 
Aweso kuna siri anaijuwa vizuri kuhusu hii ishu ya maji, kulia kwake kunaaishiria jambo fulani lipo nyuma yake!

𝐊𝐰𝐚𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐥𝐢𝐜𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 64 𝐲𝐚 𝐮𝐡𝐮𝐫𝐮 𝐛𝐚𝐝𝐨 𝐦𝐚𝐣𝐢 𝐧𝐢 𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐦𝐨𝐭𝐨?,𝐖𝐚𝐳𝐢𝐫𝐢 𝐰𝐚 𝐌𝐚𝐣𝐢 𝐀𝐰𝐞𝐬𝐨 𝐀𝐦𝐰𝐚𝐠𝐚 𝐦𝐚𝐜𝐡𝐨𝐳𝐢 𝐦𝐛𝐞𝐥𝐞 𝐲𝐚 𝐒𝐚𝐥𝐢𝐦 𝐊𝐢𝐤𝐞𝐤𝐞

Huyo mpuuzi tu anachoweza ni ndoa za mitara kama bosi wake
 
Huna akili nchi hii sio ya CCM ni ya watanganyika wote hamna hati miliki ya nchi hii utakufa na CCM itakufa ila Tanganyika itabakia milele na milele, mjinga mmoja unayelipwa kueneza propaganda za kijinga huna huelewa wala maono akili Yako inaendeshwa na njaa na umasikini wa kifikra, kimwili na kiroho, pumbaf
Sio mali ya CCM lakini huwezi kuongoza Tanzania bila ya kushindana na kuishinda CCM. Vyama 16 vimeshiriki uchaguzi mkuu nyinyi kina nani mpewe heshima msiyostahili?.

Mlitaka uchaguzi ufanyike bila ya wakurugenzi kusimamia, mwaka huu hakuna mkurugenzi aliyesimamia uchaguzi.

Mnapoishiwa hoja mnakuja na matusi na lugha za dhihaka, haiwasaidii chochote. Muwe wapole tu.
 
Back
Top Bottom