Aweso amwaga chozi kisa kuulizwa โ€œKwanini licha ya miaka 64 ya uhuru bado maji ni changamoto?โ€

Mfumo umeshashikiliwa na watu wenye akili ndogo na wana tamaa ya madaraka, hawataki kuachia hayo madaraka licha ya akili ndogo zao, ndio maana wapo radhi kuua maelfu ya watu, waendelee kubakia

Logically unadhani mwenye akili ndogo anaweza kumshinda mwenye akili kubwa?
 
Logically unadhani mwenye akili ndogo anaweza kumshinda mwenye akili kubwa?
Inawezekana tu, inategemea na huyo mwenye akili ndogo ana nini na anafanya nini ili kumshinda mwenye akili kubwa, for instance kwa sasa Tanzania tunaongozwa na akili ndogo, hiyo akili ndogo inatumia kila namna kuzishinda akili kubwa coz wenyewe kwanza ndo wana mamlaka ya kila kitu kwenye nchi hii, Akili kubwa hazipati nafasi ya kuwashinda hawa akili ndogo kwa sababu ya mamlaka waliyonayo, ikionekana tu una akili kubwa kuliko wao wanafanya namna yoyote kudhibiti, ndio maana saiz bunge lote limeja machawa coz kila anayeonekana kuwa na akili kubwa na kuhoji mambo anaachwa nje ya system .
Nchi hii pia tunajua jinsi ya kupata viongozi ni kupitia uchaguzi,sasa hawa akili ndogo uchaguzi washauchukua na wenyewe ndo wanaamua nani awe kiongozi na nani asiwe haijalishi umechaguliwa kihalali na watu, akili ndogo wanakuibia kwa sababu wanamiliki huo uchaguzi ambacho sio kitu fair kwa nchi ya kidemokrasia
Ndio maana watu wanadai katika mpya, tume huru ya uchaguzi, mahakama huru,coz akili ndogo wameshashikilia vyombo vyote vya kufanya maamuzi, hivyo wanawashinda wenye akili kubwa.
 
Nchi yetu ilisharogwa! Sijui nani atakayekuja kuifanyia deliverance?
 
Kwa nini watu Mwanza hawana maji na wako pembeni ya ziwa Victoria??
 

Kwahiyo nchi nzima inategemea bwana la Kidunda likamilike maana bado maji ni changamoto nchi nzima?
 
Inawezekana hakuna tatizo la maji ila limetengenezwa tatizo bandia ili kubadili upepo wa kisiasa

At last watu hawajadili tena mauaji ila maji maji kila main stream media
Hakuna mainstream media ya bongo iliyojadili mauaji
 
Tatizo la maji sio dar tu...
Kilimanjaro na milima yake bado kuna watu maji ya bomba kwao ni anasa!

Suala la gridi ya Taifa ya maji lingepewa kipaumbele, na mabomba mengi tunazalisha ndani kipindi hiki,tungetoa ajira nyingi sana kwa vijana wetu katika kipindi cha mradi na ndani ya miaka mitatu tungeanza kuona mabadiliko makubwa mnoo katika upatikanaji wa maji.

Issue ni nini kipaumbele cha Serikali?
Political will inahitajika sana hapa, Huyu Wazir Aweso tutamuonea bure tu, bila huko juu kukubali haya yeye sauti yake ni ndogo bado!
 
Ni kweli anelua. Lakini ndio mteule wa mama mtakatifu kuliko wote duniani Tena kwa mara ya pili ina maana mama Hana uwezo wa kuona hilo?
Mkuu binadamu hubadilika kwahiyo tusiwaamini sana. Kiongozi hutakiwi kulia hadharani badala yake uwe mfariji kwa unaowaongoza, jibu hoja huku ukilinda kiapo chako,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ