Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 680
- 1,306
Itakua ni bonge la usajiri Kwa mahitaji sahihiWamuwahi mapema wasichelewe ..
Yuko vzr sana yule mchezajiItakua ni bonge la usajiri Kwa mahitaji sahihi
Tz, ZanzibarAwesu Awesu ni Raia wa wapi huyo jamaa anajua boli sio mchezo yaani Mpira unamtii yeye...
Daah Timu ya Taifa huyo anatakiwa acheze wapo wengi hawafikii kiwango chake kwa wale viungo ndio nilikua najiuliza huyu Awesu atakua sio Raia haiwezekani kwa kiwango kile asiitwe National Team..Tz, Zanzibar
Yule KOCHA ndo alikuwa FALA sanaDaah Timu ya Taifa huyo anatakiwa acheze wapo wengi hawafikii kiwango chake kwa wale viungo ndio nilikua najiuliza huyu Awesu atakua sio Raia haiwezekani kwa kiwango kile asiitwe National Team..
Upo sahihi kuhusu yeye, ila yule ni Jangwani KitamboNakumbuka nilitoa ushauri kama huu kabla Mudathir yahya hajasajiriwa Jangwani.
Ukimtoa Triple C pale Msimbazi hakuna playmaker mwingine kitu kinachoifanya timu icheze mpira mgumu usioeleweka.
Awesu Awesu ataifaa sana timu kwani ni bonge la playmaker.
Kazi kwenu viongozi.
Awesu kama majogoro yule aliyetimkia uko kusini mwa afrika anapanda shuka nyingi, nafikiri ndio sababu vilabu vikubwa vinasita kumchukua .Daah Timu ya Taifa huyo anatakiwa acheze wapo wengi hawafikii kiwango chake kwa wale viungo ndio nilikua najiuliza huyu Awesu atakua sio Raia haiwezekani kwa kiwango kile asiitwe National Team..
Nadhani ni madini ya ArushaSimba walimwona muda mrefu kipindi wanacheza shirikisho na mnadani.
Sasa hivi Simba wanatatizo la wachezaji wanaochezea mpira wengi ni direct football
kwa mechi zipi ndugu? Huyo anacheza jihadi kwa mechi za Yanga na Simba tuNakumbuka nilitoa ushauri kama huu kabla Mudathir yahya hajasajiriwa Jangwani.
Ukimtoa Triple C pale Msimbazi hakuna playmaker mwingine kitu kinachoifanya timu icheze mpira mgumu usioeleweka.
Awesu Awesu ataifaa sana timu kwani ni bonge la playmaker.
Kazi kwenu viongozi.