Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
wasimuweke benchi wakauwa kiwango chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati mbaya Muda alitua Yanga na watu ndo wamejua "Muda ni Nani!?" ....Nakumbuka nilitoa ushauri kama huu kabla Mudathir Yahya hajasajiriwa Jangwani.
Ukimtoa Triple C pale Msimbazi hakuna playmaker mwingine kitu kinachoifanya timu icheze mpira mgumu usioeleweka.
Awesu Awesu ataifaa sana timu kwani ni bonge la playmaker.
Kazi kwenu viongozi.
Mchezaji wa timu ndogo huyo Tresor, ana energy kidogo sana ni kama huwa anacheza 50 minutes tu zingine anakimbia kimbia tu.Wamuwahi mapema wasichelewe ..
Alishaitwa na Etienne Ndayiragije lakini hakupata hata namba.Daah Timu ya Taifa huyo anatakiwa acheze wapo wengi hawafikii kiwango chake kwa wale viungo ndio nilikua najiuliza huyu Awesu atakua sio Raia haiwezekani kwa kiwango kile asiitwe National Team..
Yes alikuwa anacheza Madini ya Arusha, akacheza Kagera Sugar, Azam, KMC na klabu nyingine sikumbuki.Nadhani ni madini ya Arusha
Azam siyo wajinga huyo Awesu huwa maji kupwa maji kujaaHuyo jamaa (Awesu) alimoutplay kabisa Doctor wa mpira Aucho siku ya mechi ya KMC vs Yanga hapo juzi. Jamaa anajua ball, mimi nilidhani ni raia wa Ghana. Halafu alisajiliwa Azam, wakashindwa kumtumia ikabidi wamtoe kwa mkopo KMC. Ila Azam wajinga sana aisee.
Huyo Kevin Nashon alicheza AFCON U 17 2017 kwa sasa anaweza kuwa na miaka 24 tu huo uwezo umeishaje akiwa bado mtoto mdogo namna ile.Kuna watu hawajui Mpira. Awesu ni mchezaji mzuri kabisaa siyo leo tu muda mwingi Yuko vizuri. Hapa Tz kuna ujinga mwingi sana ktk usajili. Unamuacha Awesu unamchukua Bigirimana na wapuuzi wengine kisa tu ni kutoka nchi za mbali. Kevin Nashon alikuwa na uwezo mkubwa kuwazidi wengi lakini hakucheza timu kubwa mpka uwezo unaisha. Unabaki na Mwamnyeyo maboko na una Waziri wa Singida Big Star. Wengine ni Kihimbwa. Unamucha Dickson nje unamuweka Mnoga maboko. Sasa hiyo Mnoga si ubora ukachukue mchezaji wa ndondo Kinesi pale
Awesu hawezi kuwafikia kiwango hawa. Feisal Salum, Yusuph Kagoma, Edmund John na Ladak Chasambi kama playmaker.Bahati mbaya Muda alitua Yanga na watu ndo wamejua "Muda ni Nani!?" ....
Umeandika vizuri kibongo bongo hakuna playmaker wa kumgusa Awesu Awesu Tangu akiwa Kagera Sugar jamaa anaubonda Sana sijui ilikuaje hadi Azam wakamtoa kwa mkopo kwenda KMC......
Lakini za ndaaaaaaaani kabisa Master Gamondi anavutiwa Sana na huyu jamaa na anataka atue pale Jangwani kwenye utajiri wa mataji...
Duh kumbe kazunguka sana ligi kuuMchezaji wa timu ndogo huyo Tresor, ana energy kidogo sana ni kama huwa anacheza 50 minutes tu zingine anakimbia kimbia tu.
Hawini duels zozote uwanjani kwenye mipira ya kugombania.
Alisajiliwa Azam lakini hakuonekana kuwa na msaada hadi wakamtoa kwenda KMC japo.
Hata age yake itakuwa kubwa sana amecheza Kagera Sugar, Azam nafikir na klabu nyingine nafikiri ni Singida.
Kama haujamuona akicheza umejuaje kuwa ni Soft mbona huyu Baka alionekana soft mpaka Yanga wakaenda kutafuta Beki ya kati wakati yeye akiwa benchi alipopaata nafasi kumbe ni mtu na nusu..Alishaitwa na Etienne Ndayiragije lakini hakupata hata namba.
Ni soft sana kwenye timu ya taifa hawezi kupata namba.
Yeah kwenye ligi kacheza kwenye vilabu zaidi ya vitatu na huko chini hakutoka kinda.Duh kumbe kazunguka sana ligi kuu
Mimi naangalia mechi zote za ligi kuu zinazorushwa live. Awesu hana stats nzuri za kuwin duelsKama haujamuona akicheza umejuaje kuwa ni Soft mbona huyu Baka alionekana soft mpaka Yanga wakaenda kutafuta Beki ya kati wakati yeye akiwa benchi alipopaata nafasi kumbe ni mtu na nusu..
Hao wote hakuna anaegusa footwork ya Awesu kawaacha mbali sanaAwesu hawezi kuwafikia kiwango hawa. Feisal Salum, Yusuph Kagoma, Edmund John na Ladak Chasambi kama playmaker.
proper couching tu. huyu awesu ana sima vyemaHao wote hakuna anaegusa footwork ya Awesu kawaacha mbali sana
Brother unajua mpira...Hao wote hakuna anaegusa footwork ya Awesu kawaacha mbali sana
Mkuu yule jamaa anajua mpira inawezekana unaangalia mpira ila pana vitu unakosa vya kukagua wachezaji wazuri Awesu ni mtu mimi nilijua Mghana bhana kumbe mwana wa Zenji tu hapa harafu wanaachwa watu wanachukua majina tu..Mimi naangalia mechi zote za ligi kuu zinazorushwa live. Awesu hana stats nzuri za kuwin duels
Nimemfuatilia Awesu tangu mechi ya Madini Fc na Simba siyo mchezaji consistent na ni soft sanaMkuu yule jamaa anajua mpira inawezekana unaangalia mpira ila pana vitu unakosa vya kukagua wachezaji wazuri Awesu ni mtu mimi nilijua Mghana bhana kumbe mwana wa Zenji tu hapa harafu wanaachwa watu wanachukua majina tu..
Huyu jamaa yupo vizurivsana alianzia boli timu fulani hivi Arusha akaenda stendi utd ila nashangaa timu kubwa hazimuoni.Awesu Awesu ni Raia wa wapi huyo jamaa anajua boli sio mchezo yaani Mpira unamtii yeye...