Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Huyo jamaa (Awesu) alimoutplay kabisa Doctor wa mpira Aucho siku ya mechi ya KMC vs Yanga hapo juzi. Jamaa anajua ball, mimi nilidhani ni raia wa Ghana. Halafu alisajiliwa Azam, wakashindwa kumtumia ikabidi wamtoe kwa mkopo KMC. Ila Azam wajinga sana aisee.Awesu Awesu ni Raia wa wapi huyo jamaa anajua boli sio mchezo yaani Mpira unamtii yeye...