Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Huyo jamaa (Awesu) alimoutplay kabisa Doctor wa mpira Aucho siku ya mechi ya KMC vs Yanga hapo juzi. Jamaa anajua ball, mimi nilidhani ni raia wa Ghana. Halafu alisajiliwa Azam, wakashindwa kumtumia ikabidi wamtoe kwa mkopo KMC. Ila Azam wajinga sana aisee.Awesu Awesu ni Raia wa wapi huyo jamaa anajua boli sio mchezo yaani Mpira unamtii yeye...
Jana nimeshangaa sana kuambiwa Awesu ni Mtanzania hapa ilibidi niulize tena mtaani maana nami nilijua alikuja na Akameko kumbe ni Mzanzibar bhana kweli Timu yetu inachaguliwa na watu wasio wa Mpira huyo mtu sio wa kuachwa..Huyo jamaa (Awesu) alimoutplay kabisa Doctor wa mpira Aucho siku ya mechi ya KMC vs Yanga hapo juzi. Jamaa anajua ball, mimi nilidhani ni raia wa Ghana. Halafu alisajiliwa Azam, wakashindwa kumtumia ikabidi wamtoe kwa mkopo KMC. Ila Azam wajinga sana aisee.
Inawezekana maana akiona tatizo anashuka kusaidia..Awesu kama majogoro yule aliyetimkia uko kusini mwa afrika anapanda shuka nyingi, nafikiri ndio sababu vilabu vikubwa vinasita kumchukua .
Japo kweli jamaa anajua mpira aisee.
Sio kocha tatizo ni TFF inajidalalia kuchukua makocha wa kawaida na kuwachagulia wachezaji wale Zambia walikua wanakufa na tungefika mbali kama DRC sema ndio hivyo Nchi haina viongozi wa Mpira sahihi..Yule KOCHA ndo alikuwa FALA sana
AFCON ya mwaka huu ndo ilikuwa yetu
Kocha alituangusha sana
Upo sahihi Aucho alisababisha faulo mbili ambazo angeweza kupata Yellow Card ila Aucho anajua Boli aisee daah...Huyo jamaa (Awesu) alimoutplay kabisa Doctor wa mpira Aucho siku ya mechi ya KMC vs Yanga hapo juzi. Jamaa anajua ball, mimi nilidhani ni raia wa Ghana. Halafu alisajiliwa Azam, wakashindwa kumtumia ikabidi wamtoe kwa mkopo KMC. Ila Azam wajinga sana aisee.
na hicho ulichosema ndo kilimuondoa Azam FcAwesu kama majogoro yule aliyetimkia uko kusini mwa afrika anapanda shuka nyingi, nafikiri ndio sababu vilabu vikubwa vinasita kumchukua .
Japo kweli jamaa anajua mpira aisee.
Kaangalie mechi ya KMC na Simba 2-2 uone alivyo chafua dimba la kati paleAwesu ni mchezaji wa kawaida mchezaji wa timu ndogo na ameshakua jua la magharibi hawezi kuongeza kitu kwa Simba labda wingi wa wachezaji tuu
Hata Akaminko kwenye mechi za Simba na yanga hua ana onekana kama Kante wa Chelsea lakini baada ya hapo anarudi kwenye uhalisia wake, ni mchezaji wa kawaida mchezaji wa timu ndogoKaangalie mechi ya KMC na Simba 2-2 uone alivyo chafua dimba la kati pale
sio walishindwa kumtumia,yeye ndio alishindwa kupambania namba ndipo wakamtoa kwa mkopo,awesu hana muendelezo (consistency) mechi moja anacheza vizuri nyingine hachezi vizuri,ndicho kinachomuangushaHuyo jamaa (Awesu) alimoutplay kabisa Doctor wa mpira Aucho siku ya mechi ya KMC vs Yanga hapo juzi. Jamaa anajua ball, mimi nilidhani ni raia wa Ghana. Halafu alisajiliwa Azam, wakashindwa kumtumia ikabidi wamtoe kwa mkopo KMC. Ila Azam wajinga sana aisee.
Simba na Wazinzabar ni kama maji na mafuta.Awesu Awesu ni Raia wa wapi huyo jamaa anajua boli sio mchezo yaani Mpira unamtii yeye...
OK mimi nimezungumzia Taifa Stars huyo jamaa kutomwita ni kutolitendea haki boli..Simba na Wazinzabar ni kama maji na mafuta.