Awesu Awesu wa KMC ni bonge la mchezaji (playmaker) viongozi wa Simba SC anzeni mchakato wa kumchukua

Bahati mbaya Muda alitua Yanga na watu ndo wamejua "Muda ni Nani!?" ....

Umeandika vizuri kibongo bongo hakuna playmaker wa kumgusa Awesu Awesu Tangu akiwa Kagera Sugar jamaa anaubonda Sana sijui ilikuaje hadi Azam wakamtoa kwa mkopo kwenda KMC......

Lakini za ndaaaaaaaani kabisa Master Gamondi anavutiwa Sana na huyu jamaa na anataka atue pale Jangwani kwenye utajiri wa mataji...
 
Huyu kiungo Simba na Yanga waliomgombania kipindi yupo Arusha miaka kadhaa nyuma na ilionekana kama Hanspope (RIP) alishinda vita ya kumsajili. Sijui kilitokea nini hakusajiliwa Simba. Lakini namuona kama ni aina ya wachezaji wanaokamia mechi kubwa za Simba na Yanga. Tatizo lingine ni kukosa muendelezo.
 
Wamuwahi mapema wasichelewe ..
Mchezaji wa timu ndogo huyo Tresor, ana energy kidogo sana ni kama huwa anacheza 50 minutes tu zingine anakimbia kimbia tu.

Hawini duels zozote uwanjani kwenye mipira ya kugombania.

Alisajiliwa Azam lakini hakuonekana kuwa na msaada hadi wakamtoa kwenda KMC japo.

Hata age yake itakuwa kubwa sana amecheza Kagera Sugar, Azam nafikir na klabu nyingine nafikiri ni Singida.
 
Daah Timu ya Taifa huyo anatakiwa acheze wapo wengi hawafikii kiwango chake kwa wale viungo ndio nilikua najiuliza huyu Awesu atakua sio Raia haiwezekani kwa kiwango kile asiitwe National Team..
Alishaitwa na Etienne Ndayiragije lakini hakupata hata namba.

Ni soft sana kwenye timu ya taifa hawezi kupata namba.
 
Azam siyo wajinga huyo Awesu huwa maji kupwa maji kujaa
 
Huyo Kevin Nashon alicheza AFCON U 17 2017 kwa sasa anaweza kuwa na miaka 24 tu huo uwezo umeishaje akiwa bado mtoto mdogo namna ile.

Ni kwamba ameshindwa kuendeleza uwezo wake tu mpaka kuonekana kwa vilabu vikubwa.
 
Awesu hawezi kuwafikia kiwango hawa. Feisal Salum, Yusuph Kagoma, Edmund John na Ladak Chasambi kama playmaker.
 
Duh kumbe kazunguka sana ligi kuu
 
Alishaitwa na Etienne Ndayiragije lakini hakupata hata namba.

Ni soft sana kwenye timu ya taifa hawezi kupata namba.
Kama haujamuona akicheza umejuaje kuwa ni Soft mbona huyu Baka alionekana soft mpaka Yanga wakaenda kutafuta Beki ya kati wakati yeye akiwa benchi alipopaata nafasi kumbe ni mtu na nusu..
 
Kama haujamuona akicheza umejuaje kuwa ni Soft mbona huyu Baka alionekana soft mpaka Yanga wakaenda kutafuta Beki ya kati wakati yeye akiwa benchi alipopaata nafasi kumbe ni mtu na nusu..
Mimi naangalia mechi zote za ligi kuu zinazorushwa live. Awesu hana stats nzuri za kuwin duels
 
Mimi naangalia mechi zote za ligi kuu zinazorushwa live. Awesu hana stats nzuri za kuwin duels
Mkuu yule jamaa anajua mpira inawezekana unaangalia mpira ila pana vitu unakosa vya kukagua wachezaji wazuri Awesu ni mtu mimi nilijua Mghana bhana kumbe mwana wa Zenji tu hapa harafu wanaachwa watu wanachukua majina tu..
 
Nimemfuatilia Awesu tangu mechi ya Madini Fc na Simba siyo mchezaji consistent na ni soft sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…