AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Lol, me naona AY angetafutwa wakae chini na mshikaji wamalize tofauti zao maana duuh
Itakuwa AY aliwazingua, teh teh maana kuna sehemu niliwahi kuona jamaa kamparamia A.Y dodoma club moja,Zee akamzingua like "nakujua? "Jamaa kajibu 'hapana" AY:Sasa mbona unakuja na mambo ya kienyeji hatujuani na hatuna appointment" Labda yule jamaa ndio huyu lol.
 
Hater
 
Kweli kila anayepata hela anakimbilia ulaya, ila akifa anazikwa Africa!
 
Hizi ni akili za kimaskini

Akili za kitajiri unazo wewe muoga vumbi mwenzangu?

Wewe ndio unajitia una moral authority za kuita wenzako wana akili za kimasikini,sijui ulitupima lini?

Daktari wa mavi choroni mwenye kuangali fictional internet characters kama Wyatt na kuwafanyia clinical diagnosis hapo hapo na kutoa majibu hapo eti wana akili za kimasikini???

Hivi una mapepo?
 

Hahahaaa you are on fire my guy!
 
Ooh basi sawa!
 
najiribu kujiuliza domo kaya angekuwa yeye ndio ana nyumba huko mpaka kuku wetu wangeenda kubakiwa huko,kijana ana uchu yule kama nyegele
 
Tangu nizaliwe sijawahi kutana na hater kama huyu jamaa
Wala sio hater nimekuja kurealize mida hii, jamaa alikua na stress akaamua kumalizia kwenye post hii pages za mwanzo sasa zimeisha anakumbana na quotes kama zote yaan ikabidi akaze asionekane kireee, lol

Angalia anaamini nyumba iliyosemwa amenunua ndio hiyo hapo kwenye picha, anasahau vile waandishi wa habari huweka chumvi kuvutia taarifa zao, mara tangu lini AY akawa na watoto wawili wakubwa amesahau hata huyo anayemsema ni mke wa AY sio mkewe, kwa hiyo ni mtu anayebisha bila kujua anabisha nini,

Tumuache apumzike maana anaweza kumeza simu huko alipo.
 
Lol, nahisi ni yeye hahaha AY amekua homa ya jamii forum, najaribu kufanya nae mawasiliano ili aje alete address jamaa yetu akafanye utafiti wake kujua kama kweli ana mjengo au hana.
 
Ay alisomaga Ifunda Tech sio Iyunga mkuu .
Mbona unaandika kwa hasira sana .
 
Ay alisomaga Ifunda Tech sio Iyunga mkuu .
Mbona unaandika kwa hasira sana .

Jaribu kusoma mtiririko wa mjadala kabla ya kucomment maana unaweza uliza jambo ambalo limeshatolewa ufafanuzi.

Hiyo ishu ya Iyunga amekili alikosea ni Ifunda Tech na kasoma na rafiki yake.
 
Ahaaaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...kuanzia leo nakufolo
 
Haahaaahaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....mzee wa commercial hebu pitia hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…