cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,570
- 5,508
Video: Maamuzi ya rufaa ya Tigo dhidi ya hukumu ya kuwalipa AY na FA bilioni 2.18 kutolewa June 27 | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania TodayHawajalipwa hata mia....Wangelipwa ingekua ni breaking news TZ nzima!
Walikata rufaa,na inavyokwenda,wanaweza settle outta court au wakashindwa all together!
Tigo wakishindwa ni precedence wanamziki wote watafungua na wao kesi wataifungia Tigo mbali,kuna janja wanacheza ngoma ife!
Hii tu inaprove jamaa got enough cash to push around