AY akiri kumiliki nyumba Marekani

AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Nakumbuka kuna mwaka flani niliwahi ingea na mzungu mmoja mnorway ktk piga piga stori akanambia huku maisha ni mepesi sana sana,nilipomuuliza ni kwa nini anasema hivyo alinambia vitu vingi ila moja ya vitu vikubwa alisema huku afrika karibia kila unakopita unakuta nyumba nyingi sana na ni nzuri,nikiuliza hizi ni nyumba za serikali? Naambiwa ni za watu binafsi. Akasema aliona ni ajabu kwa sababu ulaya au Amerika ukiona mtu anamiliki nyumba kubwa kama huku basi huyo si mtu Wa kawaida. Akasema kule asilimia kubwa sana wananchi wanaishi kwenye majengo ya serikali ambayo kuna gharama wanazilipia ambazo ni affordable. Kama ni kweli AY kasema kuwaleta wasanii alikuwa anapokea mil 100+ basi ni mshenzi sana kwa sababu kipindi hicho nakumbuka kuna siku nilimsikia ncha Kali alisema "Prime Time Promotion ni bab kubwa kwa sababu kumleta msanii toka marekani na kumlipa milioni mia moja na si mchezo" alikuwa anamuongelea Shaggy kama sikosei. Kwa hyo wakati msanii alilipwa mil 100+ na dalali alikuwa analipwa mil 100+? ESOPO!!!!!
Hahahhaha
 
Kinachoshangaza ni kwamba jamaa anawaambia wekeni location ya hiyo nyumba hapo LA kisha yeye binafsi afanye research watu hawataki bali wamekalia kumuita hater!

Mimi binafsi huwa siwaamini wasanii wa bongo,wengi wao wana maisha mazuri instagram lakini huku mtaani ni choka mbaya kazi kutupiga virungu kutwa.

Watu wanapenda kuamini kila kitu hata kama ni controversial,mtu yeyote akiwa critical thinker anakuwa ni tatizo na huu ni utamaduni mbaya sana ambao umeingia hadi kwenye siasa za nchi.Ukihoji kitu unaambiwa sio mzalendo au unatumiwa na mabeberu,taifa limekuwa hovyo kabisa hili.

Ni kweli.

Kwa kutumia tu real address mtu unaweza kujua hiyo nyumba ilijengwa lini, inamilikiwa na nani, iliuzwa lini, ina ukubwa gani, kodi kwa mwaka inagharimu kiasi gani na kadhalika.

Nachoona ni kwamba wengi humu hawajui haya mambo ya real estate yakoje huko Marekani.

It’s very easy to know who owns which property by just using its physical address.
 
Broker?

Niggaz,are you high?

AY has never been connected like Diamond is....na kua broker,what do you really mean?

Unajua how to book an international artist for a show or collaboration?Unajua process?

Na hiyo process inapitia kwa AY?Are you thinking using you butt or your head?

You people are in drugs!
We jamaa una chuki hivi kati ya AY na Diamond nani ka anza kuimba na nje hasa US?
 
Wewe mwenye ku-claim kumiliki hivi vitu ndio utuwekee umiliki wako hapa mezani,just attach papers hapa!

Sio mtu yeyote anaamka asubuhi anakuna pumbu zake anaona leo ngoja niseme nina Jumba LA just for the sake of it alafu tukubali bila udhibitisho,you people are high on your own supply aisee!
Wewe ndio unatoa accusations kwamba AY ni muongo, kwa kawaida (kama hujui) ukitoa accusations zozote burden ya kuthibitisha hizo accusations inakua kwako. Kwahiyo burden ya kuthibitisha madai yako kwamba AY anatafuta kiki unatakiwa ipo kwako. Otherwise utakua unachokisema ni story tu( mnazopeana vijiweni?).
Halafu kuna sehemu umesema numbers aren't adding up, nilikuuliza what are the numbers that dont add up ?? Show us the numbers.
 
What wrong with you bro....Chuki za nn izo na AY kama yeye kasema uongo wewe tatizo lako nn au unafaidi nn na pesa au mali za AY mpaka povu ilo. Vijana tusifu vijana wenzetu wanao piga hatua sio majungu na roho mbaya

Ubaya ni wa kuchukia popote!

UONGO ni ubaya!

Mtu anapoona ubaya halafu hasemi kitu ni mmojawapo wa wafanya ubaya ule!

UONGO ni wa kupinga kwa strongest terms possible!

Im sorry if you are feeling Im a hater..I cant control how you feel,I can only control myself!
 
We jamaa una chuki hivi kati ya AY na Diamond nani ka anza kuimba na nje hasa US?

Kaanza AY sababu yeye ndio wa kwanza kuzaliwa...

Wangezaliwa mapema Diamond angeanza yeye!

Na kuanza haimaanishi ndio kafananikiwa!

Kama ni kutoka hapo Dar,then AY alifika Chalinze na Diamond ametoboza mpaka Kigoma kabisa!

How in your right mind can you compare Diamond na AY wewe?

You are making us suspect your intelligence fitness aisee!

How dare are you?How DARE?

All you AY minions are under influence,you are not in control of your well being kabisa!

What substance are you minions smoking?
 
Mkuu taja hao wasanii....then kwenye column ingine taja wasanii wa Diamond then utajua maharage ni mboga na sio zao la Biashara!

Ndio utaona heavyweight ni nani!

AY amepita pita tu...na kua wa kwanza sio eti ndio umefanikiwa!

Hebu acheni kutuona vilaza bwana....This is too much now!
Oooh... Sasa nimeelewa, kumbe mabishano yote haya ilikua ni kumpambanisha na diamond? ? Oky
 
Wewe ndio unatoa accusations kwamba AY ni muongo, kwa kawaida (kama hujui) ukitoa accusations zozote burden ya kuthibitisha hizo accusations inakua kwako. Kwahiyo burden ya kuthibitisha madai yako kwamba AY anatafuta kiki unatakiwa ipo kwako. Otherwise utakua unachokisema ni story tu( mnazopeana vijiweni?).
Halafu kuna sehemu umesema numbers aren't adding up, nilikuuliza what are the numbers that dont add up ?? Show us the numbers.

Burden ya ku-prove umenigeuzia mimi?

Alie-claim ana hizi mali ni mimi au yeye?

Adhibitishe "UMILIKI",basi!

Hata mimi naweza sema nina hela zaidi ya Bill Gates,ni jukumu langu kuwadhihirishia na sio nigeuke eti niwaambie nyie mdhibitishe!

Ni semi-kichaa tu ndie anaweza kufanya hivi.....Im really sorry for you!
 
Oooh... Sasa nimeelewa, kumbe mabishano yote haya ilikua ni kumpambanisha na diamond? ? Oky

Soma ilikua ni reply yangu kwa comment ipi..

Nimejibu kutokana na comment ya muhusika hapo juu!

Kichwa cha habari cha thread kipo wazi,haya mengine ni matangazo baada ya habari!

Sasa kama wewe unajifanya kupata uhalali wa kuchepusha mada sababu ya reply yangu kwa ile comment ya jamaa basi go ahead play yourself!
 
Burden ya ku-prove umenigeuzia mimi?

Alie-claim ana hizi mali ni mimi au yeye?

Adhibitishe "UMILIKI",basi!

Hata mimi naweza sema nina hela zaidi ya Bill Gates,ni jukumu langu kuwadhihirishia na sio nigeuke eti niwaambie nyie mdhibitishe!

Ni semi-kichaa tu ndie anaweza kufanya hivi.....Im really sorry for you!
Wewe una burden ya kuprove accusations kwamba AY ni "muongo tuu na anatafuta kiki" maana hizi accusations ni wewe ndio umezitoa, wewe umetoa accusations zithibitishe, simple!!
 
Nyumba au apartment?

AY huyu mwanamke wa Kinyarwanda nadhani anamshinda nguvu!

Chezea Tutsi ni high maintenance women...

AY na jumba United States of America wapi na wapi?

Hajui uwongo wake unaweza kubumburuka fasta maana everything kipo online?

Kiki za kizamani sana hizi!

Eti mwanamziki TAJIRI,what a joke!
Tuelezeee vizuri?Cuz tunaona kama emotions zimetawala kuliko fact.Tuambie kwanini no uongo na kwa nini sio tajiri kibongo bongo
 
Wewe una burden ya kuprove accusations kwamba AY ni "muongo tuu na anatafuta kiki" maana hizi accusations ni wewe ndio umezitoa, wewe umetoa accusations zithibitishe, simple!!

Ni uongo mpaka pale atakapo tuonesha umiliki!

Hata address tu hamtoi,sasa hiyo nyumba ina exist wapi kama physical address haipo?

Yeye ndio katoa claims ambazo sio approved...tudhibitishie umiliki wako kama kweli wewe ni owner!

How can a true owner ushindwe kitu kidogo namna hii?

Msitufanye watoto aisee..We are offended mnachezea uelewa wetu kibwege bwege!
 
Kaanza AY sababu yeye ndio wa kwanza kuzaliwa...

Wangezaliwa mapema Diamond angeanza yeye!

Na kuanza haimaanishi ndio kafananikiwa!

Kama ni kutoka hapo Dar,then AY alifika Chalinze na Diamond ametoboza mpaka Kigoma kabisa!

How in your right mind can you compare Diamond na AY wewe?

You are making us suspect your intelligence fitness aisee!

How dare are you?How DARE?

All you AY minions are under influence,you are not in control of your well being kabisa!

What substance are you minions smoking?
Mimi na andika kiswahili una kuja na vingereza viingi ili uonekane msomi? nikianza kuandika lugha nyingine hapa tuta elewana! ?
 
Ni uongo mpaka pale atakapo tuonesha umiliki!

Hata address tu hamtoi,sasa hiyo nyumba ina exist wapi kama physical address haipo?

Yeye ndio katoa claims ambazo sio approved...tudhibitishie umiliki wako kama kweli wewe ni owner!

How can a true owner ushindwe kitu kidogo namna hii?

Msitufanye watoto aisee..We are offended mnachezea uelewa wetu kibwege bwege!
Wewe kutokua na address haifanyi yeye kutomiliki chochote anachomiliki
Natamani ungelikua unamjua AY in person....
 
Mimi na andika kiswahili una kuja na vingereza viingi ili uonekane msomi? nikianza kuandika lugha nyingine hapa tuta elewana! ?

Acha kuonesha upumbavu wako..

Hivi mwaka 2018 bado Tanzania tunalalamika kuhusu Kiingereza?

Hivi kweli?Kabisa?

Acha upumbavu kabisa...

Acha kuonesha you are scared of English language..Ni lugha tu,kwanini unaogopa lugha?

Kitu umesoma kuanzia darasa la kwanza mpaka Chuo Kikuu halafu unageuka unaanza kulalamikia lugha?You people are in cocaine kabisa!

Yaani umegeuzia manung'uniko kwenye lugha ya Kiingereza?Really?Mpaka lini tutaacha hiki kilio cha kipumbavu kabisa cha kujitakia?

Ulienda shule kusoma ugoro?Tangu la kwanza mpaka chuo kikuu ulisoma Kiingereza,hivi leo unalia kwasababu ipi kama sio uzembe wako binafsi?

Mapungufu yako usihamishie kwa wengine...Hujui Kiingereza ni your own problem,usilete ngendembwe kabisa!

Unahalalisha uzembe wako binafsi kipuuzi namna hii?

Rudisha ada yetu tuliyokulipia kuanzia la kwanza mpaka chuo kikuu,huna maana,hufai kabisa...

Zembe kabisa!
 
Niambie hela kapata wapi step by step...

Huwezi!

kwanini nisiwe na haki ya kusema ni uongo?
1.Ay ni msanii kafanya shows kibao kwa muda mrefu.
2.Ay ni mfanya biashara akifanya biashara nyingi za aina mbalimbali kikiwepo kilimo,Ay analima mashamba makubwa ya mpunga kabla Masanja mkandamizaji hajaelekea huko.
3.Ay ni "link" ya music for east africans artists abroad
4.Nimeshuhudia kitambo jamaa ananunua kiwanja sehemu kwa pesa inayozidi 80M Tsh
5.Ay racked in for several years pesa za matangazo kutoka Airtel kwa vipindi vya television kama mkasi hivi
Kingine kakuambia atahamishia makazi huko Marekani(Subiri uone).
6.Ay kapiga pesa za ulanguzi wa cash crops kitambo kabla hazijaanza hizi mambo za sasa hivi,we ulikuwa umelala na "american dreams" zako wadau wanaingia field wanapiga hela. Sisi ambao tuna struggle kwa nguvu kubwa halafu tuna yield poor huwa tuna hasira,tuendelee tu kukomaa tutashinda mkuu
 
Personally unamjua wewe...we do not care!

Kitu kimekuja kwenye public domain.....Public ndio sisi,tunataka address!

Otherwise asingeileta kwenye public domain...!

hebu msituone mapumbavu kabisa!
Narudia "wewe kutokua na address haifanyi Yeye kutomiliki chochote anachomiliki" na nilikuuliza what numbers aren't adding up kama ulivyo claim kua numbers aren't adding up
 
Back
Top Bottom