AY akiri kumiliki nyumba Marekani

AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Mkuu,ni rahisi sana mimi kuamka asubuhi na kukuna mapumbu yangu sebuleni kwangu na kuanza kuchapa JF eti ninamiliki MELI au MAKAMPUNI 60...

Then kudhibitisha kua ninazo ndio mziki!

Ili kuua mzozo,jamani naomba walao mnitajie majina tu ya hizo kampuni zake,na address ya hiyo nyumba hapo LA!

Just Google norminal price of a house in LA,itakuja ni dola 600,000....Sasa tukupiga hesabu za possible earning scenerios za AY kufikia disposable income ya namna hiyo zinakataa kabisa!

Nisaidieni,orodhesheni hapa,mimi nitafanya uchunguzi binafsi then tutaweka majibu hapa kuondoa utata uliopo!

Ila hii kitu ya kutufanya sisi watoto wadogo muache!
Mkuu mbona unang'ang'ania tu hapo LA kwani taarifa yake imesema ni jimbo gani anamiliki hyo nyumba? Huko US zipo nyumba kibao hata 50k usd unapata kulingana na jimbo na eneo nyumba ilipo.
 
Mfano uliotoa unatusi uelewa wa watu!

Please come up with another example,please!
We ni fara tu mzee tena unaonekana maskini sana wa kifedha na kiakili, huwezi kupangia mtu anatumiaje hela yake pumbavu na nusu!!! Kama AY kaamua kununua nyumba ni hela yake sio yako! Msando angeamua kuongeza fleet ya magari ni yeye tu, huna mamlaka juu ya hilo! FA akaamua kununua hisa GSM ni yeye sio wewe mpuuzi mmoja utake kumpangia cha kufanya! Get your billions kisha uje kushindana na wenye nazo mzae, sio unaongea tu wakati hata kula yako tu ni ya shida! Wahi ukatawaze vibibi usije kosa hela ya kodi buda!
 
Nyumba au apartment?

AY huyu mwanamke wa Kinyarwanda nadhani anamshinda nguvu!

Chezea Tutsi ni high maintenance women...

AY na jumba United States of America wapi na wapi?

Hajui uwongo wake unaweza kubumburuka fasta maana everything kipo online?

Kiki za kizamani sana hizi!

Eti mwanamziki TAJIRI,what a joke!
Acha wivu wa kike! Leta facts kua hana nyumba ndio uweke hii riwaya yako la sivyo itaendelea kujiidhihirisha wa nigga hatupendi kuona mwemzetu anafanikiwa
 
Mkuu mbona unang'ang'ania tu hapo LA kwani taarifa yake imesema ni jimbo gani anamiliki hyo nyumba? Huko US zipo nyumba kibao hata 50k usd unapata kulingana na jimbo na eneo nyumba ilipo.

Habari zilipotoka kwenye vyombo vya kidaku vilisema Los Angeles California......

Sasa sijui wewe unaongea kwa kubuni as if hujasoma zile habari au sijui where are you pulling off your data!?

Mkuu hivi unajua how expensive is Los Angeles California!?
 
Acha wivu wa kike! Leta facts kua hana nyumba ndio uweke hii riwaya yako la sivyo itaendelea kujiidhihirisha wa nigga hatupendi kuona mwemzetu anafanikiwa

Ni rahisi sana kuruka na kusema ni wivu wa kike!

AY akifanikiwa ndio ataniletea chakula mezani kwangu?Who cares really?

What he eats does not make me shit mzee!

Mimi ninahoji authenticity ya hizi outlandish claims anazotoa......

Mtu akiulizia ukweli wake fasta mnakimbilia "wivu",kwanini mnapenda shortcut ya majibu namna hii?
 
Anaesema sio yake ni kiki aweke ushahidi sio mnaongea tu maneno eti hawezi kununua USD 600000 kwani mnajua bank account yake ipoje?
 
Nakumbuka kuna mwaka flani niliwahi ingea na mzungu mmoja mnorway ktk piga piga stori akanambia huku maisha ni mepesi sana sana,nilipomuuliza ni kwa nini anasema hivyo alinambia vitu vingi ila moja ya vitu vikubwa alisema huku afrika karibia kila unakopita unakuta nyumba nyingi sana na ni nzuri,nikiuliza hizi ni nyumba za serikali? Naambiwa ni za watu binafsi. Akasema aliona ni ajabu kwa sababu ulaya au Amerika ukiona mtu anamiliki nyumba kubwa kama huku basi huyo si mtu Wa kawaida. Akasema kule asilimia kubwa sana wananchi wanaishi kwenye majengo ya serikali ambayo kuna gharama wanazilipia ambazo ni affordable. Kama ni kweli AY kasema kuwaleta wasanii alikuwa anapokea mil 100+ basi ni mshenzi sana kwa sababu kipindi hicho nakumbuka kuna siku nilimsikia ncha Kali alisema "Prime Time Promotion ni bab kubwa kwa sababu kumleta msanii toka marekani na kumlipa milioni mia moja na si mchezo" alikuwa anamuongelea Shaggy kama sikosei. Kwa hyo wakati msanii alilipwa mil 100+ na dalali alikuwa analipwa mil 100+? ESOPO!!!!!
 
Ni rahisi sana kuruka na kusema ni wivu wa kike!

AY akifanikiwa ndio ataniletea chakula mezani kwangu?Who cares really?

What he eats does not make me shit mzee!

Mimi ninahoji authenticity ya hizi outlandish claims anazotoa......

Mtu akiulizia ukweli wake fasta mnakimbilia "wivu",kwanini mnapenda shortcut ya majibu namna hii?
Wewe mwenyenyewe umeuliza swali lako kwa kukandia sio kwakuhoji kutaka kuujua ukweli kama ana miliki au la!
 
Afu na nyie wabongo muache kudanganywa mambo Madogo kama haya..wasanii wakubwa wazawa Wa us wenyewe kumiliki nyumba ni mtihani itakuwa huyu asie hata na Kiwanja kibada au gezaulole!?apartment sawa ila nyumba nops...juzi nmeona card b anaonesha nyumba insta anakwambia it was her childhood dream kumnunulia mamake nyumba tena anajisifia kwamba it is from her own money she has made..imagine Huyo ni msanii Wa marekani anajisikia fahari kununua nyumba tena ambaye ana treand Kwa sasa duniani.at aache uongo bhana sisemi kwamba haweI kununua ila Kwa pesa ipi!?
Kununua nyumba ni maamuzi either ni Card b au mtu wa kawaida mbona hata apa bongo kuna watu wana pesa lkn hawajengi ? Kua na nyumba sio utajiri ni maamuzi tu
 
Habari zilipotoka kwenye vyombo vya kidaku vilisema Los Angeles California......

Sasa sijui wewe unaongea kwa kubuni as if hujasoma zile habari au sijui where are you pulling off your data!?

Mkuu hivi unajua how expensive is Los Angeles California!?
Ohoo kumbe wewe umesoma vyombo vya kidaku, mie nimejibu kulingana na hii habari hapa JF kwani haijasema ni jimbo gani hasa anamiliki huo mjengo, basi tuseme ni sawa ni hapo LA kwani kinachoshindikana nn? Ikiwa we ni choka mbaya kuna wenzao akaunti zinasoma otherwise ungekuja na uthibitisho jamaa kadanganya au hana biashara yyte yenye uwezo wa kumfanya aweze miliki mjengo US ndipo tungekuelewa zaidi
 
Wewe mwenyenyewe umeuliza swali lako kwa kukandia sio kwakuhoji kutaka kuujua ukweli kama ana miliki au la!

Mkuu,nili-prejudge earlier on coz I knew how big a lie this is....

Tukaenda nikawaambia wanipe address,nigga,until now people are looking for an address to give me,unfortunately these people are wasting their precious time!

AY minions are miserable people,watumie walao akili kidogo tu for God's sakes!
 
Mkuu,ni rahisi sana mimi kuamka asubuhi na kukuna mapumbu yangu sebuleni kwangu na kuanza kuchapa JF eti ninamiliki MELI au MAKAMPUNI 60...

Then kudhibitisha kua ninazo ndio mziki!

Ili kuua mzozo,jamani naomba walao mnitajie majina tu ya hizo kampuni zake,na address ya hiyo nyumba hapo LA!

Just Google norminal price of a house in LA,itakuja ni dola 600,000....Sasa tukupiga hesabu za possible earning scenerios za AY kufikia disposable income ya namna hiyo zinakataa kabisa!

Nisaidieni,orodhesheni hapa,mimi nitafanya uchunguzi binafsi then tutaweka majibu hapa kuondoa utata uliopo!

Ila hii kitu ya kutufanya sisi watoto wadogo muache!

Not to defend AY or anything.

I don’t know the dude.

However, in America, very few people, if any, buy houses and other big ticket items like cars etc., using cash.

When it comes to homes, people take mortgage loans from mortgage lenders.

Kwa hiyo, ukisikia mtu kanunua nyumba sijui ya laki ngapi huko, hiyo haimaanishi hizo pesa kazitoa mfukoni mwake taslimu.

Asilimia 99.98 atakuwa kachukua mkopo benki na atakuwa analipa kidogo kidogo kwa muda mrefu, iwe miaka 10, 15, 20, au 30.

Hivyo ndivyo ilivyo huko.
 
Ohoo kumbe wewe umesoma vyombo vya kidaku, mie nimejibu kulingana na hii habari hapa JF kwani haijasema ni jimbo gani hasa anamiliki huo mjengo, basi tuseme ni sawa ni hapo LA kwani kinachoshindikana nn? Ikiwa we ni choka mbaya kuna wenzao akaunti zinasoma otherwise ungekuja na uthibitisho jamaa kadanganya au hana biashara yyte yenye uwezo wa kumfanya aweze miliki mjengo US ndipo tungekuelewa zaidi

Mzee unaongea tu just for the sake of it!

Nyumba LA minimum ni 600,000USD ambayo ni 1.5Billioni....Tukakaa chini kuangalia all possible earning potential ya AY kujenga hiyo hela kununua hiyo nyumba,hesabu zimemkataa mpaka sasa!

Sasa sijui wewe unaongea kwa mabavu gani hasa bila hata feasible analysis yoyote hapa?

Fanya mathematical analysis walao tuone kama unaweza fikia hiyo 1.5Bilioni!

Jamani acheni unazi....Unazi unafanya mtu hata awe na akili namna gani aonekane mwehu mtupu!

Im really sorry for this!
 
Not to defend AY or anything.

I don’t know the dude.

However, in America, very few people, if any, buy houses and other big ticket items like cars etc., using cash.

When it comes to homes, people take mortgage loans from mortgage lenders.

Kwa hiyo, ukisikia mtu kanunua nyumba sijui ya laki ngapi huko, hiyo haimaanishi hizo pesa kazitoa mfukoni mwake taslimu.

Asilimia 99.98 atakuwa kachukua mkopo benki na atakuwa analipa kidogo kidogo kwa muda mrefu, iwe miaka 10, 15, 20, au 30.

Hivyo ndivyo ilivyo huko.

Mkuu ukishaingia kwenye mortgage tayari inatakiwa uwe walao permanent resident au citizen kabisa!

Sasa,kwa AY he has neither!

Hivyo possibility ya mortgage iondoe..Tunabaki na outright buy,ndio tunatua kwenye mziki wa 600,000USD...

Hesabu zote tumepiga hazipo upande wa AY kabisaaaa!
 
Hii ndiyo Africa...watu hawataki kujadili hoja, wanafikiri kila anayekuja na mawazo tofauti basi ana chuki!!

Kinachoshangaza ni kwamba jamaa anawaambia wekeni location ya hiyo nyumba hapo LA kisha yeye binafsi afanye research watu hawataki bali wamekalia kumuita hater!

Mimi binafsi huwa siwaamini wasanii wa bongo,wengi wao wana maisha mazuri instagram lakini huku mtaani ni choka mbaya kazi kutupiga virungu kutwa.

Watu wanapenda kuamini kila kitu hata kama ni controversial,mtu yeyote akiwa critical thinker anakuwa ni tatizo na huu ni utamaduni mbaya sana ambao umeingia hadi kwenye siasa za nchi.Ukihoji kitu unaambiwa sio mzalendo au unatumiwa na mabeberu,taifa limekuwa hovyo kabisa hili.
 
Mkuu ukishaingia kwenye mortgage tayari inatakiwa uwe walao permanent resident au citizen kabisa!

Sasa,kwa AY he has neither!

Hivyo possibility ya mortgage iondoe..Tunabaki na outright buy,ndio tunatua kwenye mziki wa 600,000USD...

Hesabu zote tumepiga hazipo upande wa AY kabisaaaa!

Ni kweli.

Una hoja zenye mashiko ila, ili mtu au watu wakuelewe, ni lazima wajue jinsi mambo yalivyo huko Marekani.

Mimi nimekuelewa sana.

Ila kwa hawa wengine humu, ni sawa na kumpigia gitaa mbuzi.

Utaishia kuitwa hater tu. Hawajui mambo yalivyo huko.
 
Mkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!

Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!

AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!

This makes AY look more stupid with these lies!

Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!

Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!

Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!

Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.

AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?

Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?

Tusifanyane watoto kabisa!
What wrong with you bro....Chuki za nn izo na AY kama yeye kasema uongo wewe tatizo lako nn au unafaidi nn na pesa au mali za AY mpaka povu ilo. Vijana tusifu vijana wenzetu wanao piga hatua sio majungu na roho mbaya
 
Back
Top Bottom