Kinachoshangaza ni kwamba jamaa anawaambia wekeni location ya hiyo nyumba hapo LA kisha yeye binafsi afanye research watu hawataki bali wamekalia kumuita hater!
Mimi binafsi huwa siwaamini wasanii wa bongo,wengi wao wana maisha mazuri instagram lakini huku mtaani ni choka mbaya kazi kutupiga virungu kutwa.
Watu wanapenda kuamini kila kitu hata kama ni controversial,mtu yeyote akiwa critical thinker anakuwa ni tatizo na huu ni utamaduni mbaya sana ambao umeingia hadi kwenye siasa za nchi.Ukihoji kitu unaambiwa sio mzalendo au unatumiwa na mabeberu,taifa limekuwa hovyo kabisa hili.