AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Lol, mwanaume kusubiri mwanaume mwenzio akutajie mali zake nao ni umama...

Hebu fata ushauri wangu ule lil bro.
Dooh.
Yamekua hayo tena!?
Haya bhana, ngoja nikuache.
Coz siwezi kukubali unidhalilishe kwasababu ya nyumba ya AY Marekani.
Endelea na uliyekua unabishana nae.
 
Yaani siku hizi ni uongo uongo tu kwenye hii wanaita industry ya Muziki. Utasikia Madee amnunulia dogo janja gari la mil. 18, Mara harmonize ampa shilole gari la mil. 20 kwenye birthday yake, Mara ney Wa mitego anamiliki gari za kifahari 4 na mijengo 7 ya hatari hapa jijini Dar es salaam. Hapo ulipo jaribu tu kuandika kwenye Google nyumba ya Ali Kiba au harmonize uone mijengo utayoletewa ili hali wahusika wenyewe wanaishi kwenye nyumba za kupanga na wazazi wao wanaishi kwenye nyumba za kawaida tu saa myingine hata kukarabati mziki. Sasa unajiuliza huyu mtu ana uwezo Wa kumpa mil 20 mtu kama zawadi lakini home kwa wazaz ni ungaunga. Sasa sijui ndio kukua kwa Muziki wenyewe ndio maana na uongo unakua!?
 
Ishi maisha yako bro, ukifatilia ya mwenzio utalala mlango wazi, mjini kulala na njaa umependa na sio kila mishe uiweke wazi.
Ushauri mzuri, ila ushauri huu ungemfimishia mmiliki wa JF.
Inabidi afute ili jukwaa,kwasababu ili jukwaa linafanya watu wafuatilie habari za maisha ya watu maarufu ndani na nje ya nchi.
Au labda kama haujui maana ya hili jukwaa.
 
Na AY akupe address yake ili tu akuridhishe wewe kwa lipi sasa, kwa ubishi wa huyo jamaa hata akipewa address na kuthibitisha bado atahoji pesa kapata wapi maana kama kishaanza kuzichambua biashara zake sio ajabu.....

Kama umefatilia kweli convos zetu utaona kwanini nilimwambia kua nafanya mawasiliano na AY, (sikua serious).
 
Ushauri mzuri, ila ushauri huu ungemfimishia mmiliki wa JF.
Inabidi afute ili jukwaa,kwasababu ili jukwaa linafanya watu wafuatilie habari za maisha ya watu maarufu ndani na nje ya nchi.
Au labda kama haujui maana ya hili jukwaa.
Raha ya kufatilia maisha ya mtu uwe unamfatilia yeye na sio ufatilie kupitia wengine, sasa unataka wana jf wakupe address ya nyumba ya AY, seriously??

Jukwaa lipo mahala pake ndio maana habari mbalimbali huletwa na watu tunachangia kama hivi ila wachangiaji wachache ndio hufanya mambo kinyumenyume.

Uongo, Uongo, Uongo je UKWELI wako uko wapi??
 
Dooh.
Yamekua hayo tena!?
Haya bhana, ngoja nikuache.
Coz siwezi kukubali unidhalilishe kwasababu ya nyumba ya AY Marekani.
Endelea na uliyekua unabishana nae.
Sorry, sikumaanisha kukudhalilisha ila unaweza kujihisi umedhalilishwa kwa sababu ya kujidhalilisha, lol.

Karibu kifungua kinywa [emoji477][emoji501]
 
Ahahaaah.
Kwahiyo hii ya kuomba physical address ya nyumba ya AY hapa JF ndio imekushangaza?
Hayo mambo ya kinyumenyume unayosema wewe ni yapi?
Na unajuaje kama ni ya kinyumenyume?
Nini kinachokufanya uamini wewe uko sahihi kuliko hao wachache?
 
CERTIFIED PUBLIC HATER

heheheh
 
Umekazania "uongo" utadhani wewe huwa unasema ukweli kila siku kila dakika

Hio ID yako tu ni uongo tosha kwanini usitumie jina lako halisi tukujue

Achana na jamaa fanya maisha yako

Usnitch haulipi halafu usnitch was ishu zisizokuhusu na usizokuwa na uhakika nazo.

Unamwonea jamaa kisa ni bongo artist wala hujui Chanel zake za mitongo yaani MTU baki unaleta ubishiii
 
Eti mitumbwi jamaa unadharau sana .

Si ajabu unakula kwa mama au shemeji halafu unaleta dharau hivyo
 
Umekazania "uongo" utadhani wewe huwa unasema ukweli kila siku kila dakika
Umetoa outlandish claims unamiliki mali kadhaa,onesha umiliki wako.Hutaki,then nina haki kabisa ya kusema ni UONGO!..Sasa sijui kwanini mtu aki-exercise haki yake halali wewe inakuuma nini?Una pepo?

Hio ID yako tu ni uongo tosha kwanini usitumie jina lako halisi tukujue
ID yangu ikiwa anonymous haikupi wewe haki ya kudanganya....Afterall,kama umedanganya just own it,sema nimedanganya!Sio unatafuta visingizio!

Wewe mwenyewe ni anonymous,sasa sijui unapata wapi moral authority ya kumkoromea anonymous mwenzio?Are you sick?
 
Eti mitumbwi jamaa unadharau sana .

Si ajabu unakula kwa mama au shemeji halafu unaleta dharau hivyo

Kwahiyo ulivyo na mapepo ya kusema UONGO unataka kutuambia AY anamiliki "YATCH"?

Hivi una haya wewe?

Bei ya smallest second-hand Yatch ni dola 8.4Milioni....Ni Bilioni zaidi ya 16 ya Kitanzania,sasa sijui AY aliuzia wapi matako mpaka kapata hiyo hela?

Muwe mna haya sometimes,wanaume kusema UONGO ni laana!
 
Mkuu huyu jamaa hawezi kukuelewa mo nahisi kachanganyikiwa na maisha yake mpuuzi kweli kweli
 
Wamelipwa kimya kimya we fuatilia vizuri.
 
Kwani Unateseka mkuu?!? Sio kwa 'Kleensoft' hii
 
Wamelipwa kimya kimya we fuatilia vizuri.

Kimya,kimya?

Siamini hata kidogo..

Na let say wamelipwa kweli.....2.18Bilion TZS gawanya kwa watu watatu ,ondoa kodi,gharama za kesi,etc...AY abakie na chenji ya kuweza kununua jumba la 1.5Bilioni California USA?

Tangu lini ugawanye 2.18Bilion kwa watu watatu then ubakie na 1.5Bilioni?Hivi hawa watu hesabu walisomea chooni?
 
Mambo ya nyumba anayajua yeye mwenyewe. Maybe ana vyanzo vingine vya mapato pia. Ni siri yake.


Ila malipo wamelipwa.
 
Mambo ya nyumba anayajua yeye mwenyewe. Maybe ana vyanzo vingine vya mapato pia. Ni siri yake.


Ila malipo wamelipwa.

Siri yake kwanini atuletee hapa public?

Ukileta kitu public tuta-demand udhibitisho...kwanini mnakua sio waelewa nyie watu?

Eti siri,siri na bado ukaitoa hadharani?

Outlandish claims need extra ordinary proofs!

Malipo yamelipwa,nikuamini wewe who are you really?..Nipe copy ya hukumu hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…