upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Uzuzu tu,hawana tofauti na yule Musiba.Ahahaaah.
Hivi hii kasumba ya mtu ukionekana kukosoa msanii kwa jambo fulani basi unaonekana ni hater imeanza lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuzu tu,hawana tofauti na yule Musiba.Ahahaaah.
Hivi hii kasumba ya mtu ukionekana kukosoa msanii kwa jambo fulani basi unaonekana ni hater imeanza lini?
Sio kla anae kaa marekani ana jua kila kitu wengine ma house boy tu hukoKama nyani ngabu kakubali Mimi ni Nani wa kupinga
Lol, nimeona tunabishania kivuli, kama AY kasema ana nyumba mimi ni nani nimbishie kama ni uongo siku zote una mwisho ataumbuka na kama ni ukweli basi tumuombee kheir zaidi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] umejivua gamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti nyingine inafoka mpaka kugonga meza hahahaHuu uzi nimeusoma kwa sauti za waliokuwa wanabishana!
yani nimejikuta naziskia ,nyingine besi nyingine iko calm ,nyingine inafoka mpka kugonga meza!
mbishani mwingine anaondoka ,anajikuta kasharudi! mara anasepa huku anapunga mikono juuu like we niiiiiiiwi wewe huna unachojijua!
AHHAHAHAHAHAHA hataaaar!
Mkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!
Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!
AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!
This makes AY look more stupid with these lies!
Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!
Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!
Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech (corrected: Ifunda Tech) anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!
Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.
AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?
Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?
Tusifanyane watoto kabisa!
Mbona mapovu hivyo? Alikutenda nini? Msamehe uwe na amani moyoni usikiapo jina lake au habari inayomhusu🤠.
Manager Sallam (mtanzania) alipewa dili la uwakala na CMG kumleta Tanzania mwanamziki Jay Martin (mnigeria) kutoka Nigeria.It is very very bad mtu kutumia UONGO kujitafutia kick za namna hii!
Na uongo kama huu unapohusishwa na mtu kama AY,inaonesha how stupid he is!
Why can't people be honest?
The median home value in Los Angeles is $682,600!Uniambie kuna shows ngapi AY kafanya tangu anaanza mziki 2003 mpaka leo kapata hiyo hela?
Biashara gani za AY proven,zenye records na muweke evidences hapa.Na sio maneno ya mdomoni tu.
Lies spotted ni hizi:
1.AY kulipwa show moja milioni 150
2.AY kuwaleta wasanii wa USA nchini Tanzania (anaejua process ya CMG kuleta wasanii wa marekani nchini anaweza kuweka ukweli hapa maana Eve,Fat Joe,50 cents,Busta Rhymes,Ricky Ross,etc wote waliletwa na CMG,na AY can not teach Clouds on anything about this)
3.etc
All these are pure lies!
Manager Sallam (mtanzania) alipewa dili la uwakala na CMG kumleta Tanzania mwanamziki Jay Martin (mnigeria) kutoka Nigeria.
Inawezekana pia AY alitumika kama wakala kupitia CMG kuwaleta wasanii hao aliowataja
ha ha laWyatt kwa ubishi huo utakua ni miongoni kati ya kabila hizi Mjita, Msafwa, Mlugulu au Muha
Mkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!
Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!
AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!
This makes AY look more stupid with these lies!
Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!
Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!
Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech (corrected: Ifunda Tech) anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!
Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.
AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?
Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?
Tusifanyane watoto kabisa!
Jibu qn zifuatazoMkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!

Mngekuwa mnasindikiza haya mapovu na picha eg unaweka picha ya yatch halafu unasema hii ni ya fulani sio ya AyYeah,YATCH zimepaki pale,yes zipo......Ni ZAKE?
Mbuzi wa maziwa!
Huyo jamaa ni aina ya washkaji mkibishana bar,ana mind ghafla anakumwagia bia,kwa vile ni mwanao unavumilia unaondoka...Bado anabisha? Duu
Hivi unadhani watu walifahamu vipi kama AY amenunua nyumba US kama sip pic aliyoweka mwenyewe Instagram?!Ingekuwa ni chibudii chibudee ingekuwaje? Insta ingeiomba msamaha ila ndio hivy kila mtu na life style yake hongera Ay
Hahahahah hahhaaHuyo jamaa ni aina ya washkaji mkibishana bar,ana mind ghafla anakumwagia bia,kwa vile ni mwanao unavumilia unaondoka...