Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Wyatt kwa ubishi huo utakua ni miongoni kati ya kabila hizi Mjita, Msafwa, Mlugulu au Muha
Marangu moja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wyatt kwa ubishi huo utakua ni miongoni kati ya kabila hizi Mjita, Msafwa, Mlugulu au Muha
Jibu qn zifuatazo
Ruge na Kusaga walienda US wakiwa watoto?
Je walipokuwa Us watajwa hapo juu walikuwa wakijihusisha na Music Industry?
Hv kwenda US ni bahati?
Mngekuwa mnasindikiza haya mapovu na picha eg unaweka picha ya yatch halafu unasema hii ni ya fulani sio ya Ay
Hahaaa! Kumbe hela inapatikana kwa kuuza ass tu sio ku hustle!Sasa mzee,tuache unafiki kabisa...
Hivi unaweza niambia bila kupepesa macho kabisa kua AY Mhutu wa Rwanda anaeimba bongo fleva ana YATCH?
Hivi unajua YATCH?Usichanganye na kitu kinaitwa MTUMBWI!
Lets get serious here!
Hebu Google "price of the smallest second-hand yatch"...jibu on your face ni 8.4Milion USD .....
Sasa hivi AY jumlisha MwanaFA jumlisha Harmy B jumlisha P Funk,wote put together wauze ass kwa miaka 10 non stop they will NEVER pull this amount of cash!
Hebu tuache unafiki,tuwe wakweli na reasonable tuache haya mahoka!
Binafsi namjua Ambwene since anaishi Dom ni mtoto wa kishua sasa sijui wewe umemjulia Dar ama wapi?Sasa mzee,tuache unafiki kabisa...
Hivi unaweza niambia bila kupepesa macho kabisa kua AY Mhutu wa Rwanda anaeimba bongo fleva ana YATCH?
Hivi unajua YATCH?Usichanganye na kitu kinaitwa MTUMBWI!
Lets get serious here!
Hebu Google "price of the smallest second-hand yatch"...jibu on your face ni 8.4Milion USD .....
Sasa hivi AY jumlisha MwanaFA jumlisha Harmy B jumlisha P Funk,wote put together wauze ass kwa miaka 10 non stop they will NEVER pull this amount of cash!
Hebu tuache unafiki,tuwe wakweli na reasonable tuache haya mahoka!
Labda anafanya hyo bnessHahaaa! Kumbe hela inapatikana kwa kuuza ass tu sio ku hustle!
Atakuuliza wewe ni nani ili tukuamini? Kuna sehemu nimemwambia kitambo AY alinunua kiwanja hapa Dar kwa 80M akasema tukuamini wewe, ila yeye akisema sijui mshkaji wake alishakufa na alikuwa mwanae sana AY sisi hatubishi tunajua its possible, jamaa anaumwa u "GeneAss"[emoji23][emoji23][emoji2]Binafsi namjua Ambwene since anaishi Dom ni mtoto wa kishua sasa sijui wewe umemjulia Dar ama wapi?
Niliwaambia jamaa anajua kutathmini kila biashara,naona sasa anaongelea thamani ya amber rutty ngapi zitanunua Yatch.Hahaaa! Kumbe hela inapatikana kwa kuuza ass tu sio ku hustle!
Apewe kilo mbili zake za korosho arudishe carolies alizo choma kwenye hii threadNiliwaambia jamaa anajua kutathmini kila biashara,naona sasa anaongelea thamani ya amber rutty ngapi zitanunua Yatch.
FA angekuwa alilipwa asingekuwa Mdangaji mjini hapa....... Eti tigo imlipe Bilion hahah c'moon niggerMkuu kama hufahamu kitu bora upige kimya. Baada ya hukumu hiyo walifungua kesi ya kuexecute hiyo hukumu ambapo walipewa muda tigo iwalipe otherwise washikirie mali zao na kuzipga mnada.
Anyway kama we waona haiwezeknai its up to you ila ninachoandika nina hakika nacho 100%.
Huwezi kununua nyumba Marekani kizembe namna hiyo, Le Mutuz kaishi state miaka 30 na alikuwa analipwa hela ambayo angeweza kununua nyumba lakini hajawahi kwanza kupata huo uraia sembuse, huyu mnuka samaki wa feri kwenda kununua nyumba state ahhahha C'moon niggar... Huu ni uwongo wa kitotoMarekani wanakataa maskini kama una ela yako ya kwenda ukanunua nyumba mbona wanakupokea tu.... Marekani ni sehemu rahisi sana kuingia as long as una pesa kitu amabcho hawataki ni maskini kwenda kuongeza umaskini kule. In really sense hakuna nchi ambayo imeendelea inayokataa wanaohamia wenye pesa, Denmark mwaka huu walikuwa wanataka wahamiaji ili mradi uwe na ela isiyopungua dollar 60,000 kwa ajili ya makazi.
Mkuu umesimamia ukucha mpak kieleweke.....hawa wasanii wanatuoshea sana mtaa....Diamond tu ndo yupo open na kweli mkwanja anamake sana..lakn hawa akina AY waache mikwaraKimya,kimya?
Siamini hata kidogo..
Na let say wamelipwa kweli.....2.18Bilion TZS gawanya kwa watu watatu ,ondoa kodi,gharama za kesi,etc...AY abakie na chenji ya kuweza kununua jumba la 1.5Bilioni California USA?
Tangu lini ugawanye 2.18Bilion kwa watu watatu then ubakie na 1.5Bilioni?Hivi hawa watu hesabu walisomea chooni?
Mkuu umesimamia ukucha mpak kieleweke.....hawa wasanii wanatuoshea sana mtaa....Diamond tu ndo yupo open na kweli mkwanja anamake sana..lakn hawa akina AY waache mikwara
Lemutuz nae ni mtu?Huwezi kununua nyumba Marekani kizembe namna hiyo, Le Mutuz kaishi state miaka 30 na alikuwa analipwa hela ambayo angeweza kununua nyumba lakini hajawahi kwanza kupata huo uraia sembuse, huyu mnuka samaki wa feri kwenda kununua nyumba state ahhahha C'moon niggar... Huu ni uwongo wa kitoto
Kyle kwenye forex wajingawajinga ndo aliwakatisha tamaaUkitaka uenjoy argument za Wyatt mkute kwenye uzi unamuhusu yule kijana wa Forex haha. Binafsi huwa namsoma na kupita kimya kimya tu.
Ya AY na nyumba yake hongera kwake kama kapiga hatua hiyo.
kama wanatrade forex utajuajeSasa mzee,tuache unafiki kabisa...
Hivi unaweza niambia bila kupepesa macho kabisa kua AY Mhutu wa Rwanda anaeimba bongo fleva ana YATCH?
Hivi unajua YATCH?Usichanganye na kitu kinaitwa MTUMBWI!
Lets get serious here!
Hebu Google "price of the smallest second-hand yatch"...jibu on your face ni 8.4Milion USD .....
Sasa hivi AY jumlisha MwanaFA jumlisha Harmy B jumlisha P Funk,wote put together wauze ass kwa miaka 10 non stop they will NEVER pull this amount of cash!
Hebu tuache unafiki,tuwe wakweli na reasonable tuache haya mahoka!
kama wanatrade forex utajuaje
Ha ha haaaaa...100% closed, hatar sana.....naona watetezi wa AY wote wameingia mitiniJesus!
Be serious mkuu!
Kuna watu humu JF wana-trade hiyo since day 1 ila njaa mtindo mmoja!
Labda uniambie ni drug dealer....Na drug dealers utawala huu wote wana njaa kali sana pale Kinondoni...That option is 100% closed!
Jeeezzz!