AY akiri kumiliki nyumba Marekani

AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Hakuna hukumu yoyote ishatoka na hakuna mtu kalipwa chochote!

Na plus,kama madai ni 2.1Bilioni,then wagawane watu watatu halafu mmoja wao akanunue nyumba ya 1.5Bilion Los Angeles California?Mlisoma hesabu chooni?

You people what are you smoking?
Kwanini unalazimisha watu watatu wagawane sawa? Wimbo ni wa nani? Msando ni nani?
 
Sasa unabisha?

Kamuulize Lemutuz,walishea hadi apartment!

Ruge kasoma undergrad kule,wamekaa nearly 10 years....sijui wewe unamjua zaidi ya confirmation ya Lemutuz?

I wonder who you are really?
Kwa hiyo reference yako siyo Tuge wala Kusaga bali Le Mutuz? Najaribu kujufuatilia taratibu ili nikuelewe mkuu?
Kingine ni kwamba, watu wanajadili walichomisikia kutoka muhusika wewe ukawapinga kabisa watu.
Mayarajio yangu ungewapinga kwa ushahidi badala yake unawapunga kibishi tu bila ya ushahidi halafu umawashinikiza watu hao wanaojadili mada walete ushahidi. Logic ni ndogo tu hapa to cut it all short ungemwaga ushahidi wako tu.
 
@
SAVE_20181201_150512.jpeg
 
Kwanini unalazimisha watu watatu wagawane sawa? Wimbo ni wa nani? Msando ni nani?

Msando ni high powered entertainment lawyer aliesimamia kesi mzee.....

Kumbe hata hujui!

Alieiona na kujua pale wanawezakula hela ni Msando then kawashtua AY na FA that we can make billions here!

Hivyo kwenye mgao,Infact Msando anawezakua alichukua mgao mrefu zaidi.

Either way,mgawanyo wanaujua wao,ila for the sake of argument hapa tukasema tufanye waligawana equally ili tufanye hesabu..!

Sasa sijui swali lako ni lipi hasa Bwasheee?
 
Kwa hiyo reference yako siyo Tuge wala Kusaga bali Le Mutuz? Najaribu kujufuatilia taratibu ili nikuelewe mkuu?

First off:

Tuge=Ruge

Nimetumia reference ya Lemutuz maana ana picha ku-prove uhusiano wao back in the USA!

Picha nime-attach humu,tafuta utaiona!

Sasa sijui unataka proof gani hasa!

Again:

Kusaga stayed in the USA in the late 80's and 90's!

Ruge was born in Brooklyn,New York,United States of America in 1970....Let that sink in...

Ruge kamaliza San Jose State University in California USA....Let that sink in too....

Sasa sijui Mhutu AY anaweza mfundisha Ruge nini hasa kama sio kutumwa kazi kwa ujira mdogo sana?

These cockroaches need help!
 
Najaribu nikuelewe lakini naona umegoma kueleweka. Umekuwa ukihamahama sana katika hoja zako. Sikumbuki kama kuna mchangiaji humu amedai AY alimfundisha lolote Ruge, hili naliona ni jipya. Pia ubora wa Ruge ukumbuke unatokana na kujifunza kutoka kwa watu na mazingira tofauti. Yeye binafsi amekua akijivunia hilo ingawa wewe unamkatia rufaa kwa hilohilo.
Kuhusu picha kuwa ni uthibitisho naamini angeiweka AY pia ungeikataa ila kwa kuwa imeweka na Le Mutuz (Your lovely reference and role model..may be) hiyo umeikubali faster.
Lakini haina shida, unaweza ukaamini na kunena utakavyo.
 
Msando ni lawyer aliesimamia kesi mzee.....

Kumbe hata hujui!

Alieiona na kujua pale wanawezakula hela ni Msando then kawashtua AY na FA that we can make billions here!

Hivyo kwenye mgao,Infact Msando anawezakua alichukua mgao mrefu zaidi.

Either way,mgawanyo wanaujua wao,ila for the sake of argument hapa tukasema tufanye waligawana equally ili tufanye hesabu..!

Sasa sijui swali lako ni lipi hasa Bwasheee?
Siyo lwamna sijui, bali nilitarajia ungekuja na strong argument with evidence inayoonyesha jinsi mgao wa Msando na hao wengine ulivyokuwa, badala ya kulazimisha kuwa waligawana equally.
Nimeuliza maswali mepesi haya sababu nimeona wewe ni mtu unayependa evidence hivyo sikutarajia ungenipa possibilities but evidence based explanations.
Tofauti na hapo unaingia moja kwa moja na kuwa mtu muhimu sana na wa msaada ndani ya upande/kundi unalolipinga.
 
Mkuu

Hatutaelewana...Hujasoma uzi wote....

Soma ndio nadhani uanze kuuliza maswali..
 
Najaribu nikuelewe lakini naona umegoma kueleweka. Umekuwa ukihamahama sana katika hoja zako. Sikumbuki kama kuna mchangiaji humu amedai AY alimfundisha lolote Ruge, hili naliona ni jipya. Pia ubora wa Ruge ukumbuke unatokana na kujifunza kutoka kwa watu na mazingira tofauti. Yeye binafsi amekua akijivunia hilo ingawa wewe unamkatia rufaa kwa hilohilo.
Kuhusu picha kuwa ni uthibitisho naamini angeiweka AY pia ungeikataa ila kwa kuwa imeweka na Le Mutuz (Your lovely reference and role model..may be) hiyo umeikubali faster.
Lakini haina shida, unaweza ukaamini na kunena utakavyo.

You have the same problem...hujasoma uzi wote!

majibu yote yamo humu...you are just jumping
 
Jesus!

Be serious mkuu!

Kuna watu humu JF wana-trade hiyo since day 1 ila njaa mtindo mmoja!

Labda uniambie ni drug dealer....Na drug dealers utawala huu wote wana njaa kali sana pale Kinondoni...That option is 100% closed!

Jeeezzz!
Haahaaahaaa....these guys obvious smoking something really strong eeh?[emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Kwahiyo ulivyo na mapepo ya kusema UONGO unataka kutuambia AY anamiliki "YATCH"?

Hivi una haya wewe?

Bei ya smallest second-hand Yatch ni dola 8.4Milioni....Ni Bilioni zaidi ya 16 ya Kitanzania,sasa sijui AY aliuzia wapi matako mpaka kapata hiyo hela?

Muwe mna haya sometimes,wanaume kusema UONGO ni laana!
Ahahaahh,,ila kweli mkuu wabongo wepesi sana kuamini chochote
 
Eh eh mwanafa alisema ukitaka jua sana y mwanaume mwengine waweza pakatwa
We nae unachekesha kweli, sasa nani ampe address AY yupo humu? mfateni alipo awape hiyo address sasa, mmekazana kadanganya ajabu ukweli wenu hamuuweki, hebu acha kunichekesha mie.

Eti huyu jamaa atawasumbua sana,lol
jamaa gani AY?? maana ndio anasumbua akili zenu mpaka mnapata majazba na kuanza kuchambua kila kitu chake ilihali hamumjui ndewe wala sikio.

Ishi maisha yako bro, ukifatilia ya mwenzio utalala mlango wazi, mjini kulala na njaa umependa na sio kila mishe uiweke wazi.
 
Mkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!

Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!

AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!

This makes AY look more stupid with these lies!

Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!

Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!

Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech (corrected: Ifunda Tech) anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!

Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.

AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?

Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?

Tusifanyane watoto kabisa!

Kwahiyo unataka kusema kuwa wasanii wote kutoka USA wameletwa na CMG? hata kama una hulka ya kubisha si kila kitu cha kubisha, wapo wasanii kibao from states wamekuja nje ya kivuli cha CMD km maya, jayz na beyonce, omarion, EVE, justin timberlake nk

Pia kusema aliandaa show akalipwa 150m+ si lazima iwe show 1,huenda alipiga shows kama 10 hi with 15m per show, halafu kumbuka AY ndiye msanii wa kwanza tangu bongo flava ianze mwishoni mwa miaka ya 90 kufanya shows nje na collaboration na international artists, tuache ushabiki maandazi na wivu wa mke mwenza
 
Back
Top Bottom