AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Huyu mbeba box ameamua tu kuwatoa jasho mkuu hapo alipo asisinzie akapitiwa akakosa tender za box...

Ujinga sana mwanaume kukakamaa mishipa ya shingo kisa ku-diss mafanikio ya mwanaume mwenzake.
Unajua kuna watu aina mbili. Kuna wale ambao wanahisi kila mtu anafaa kuwa masikini kama wao na kuna ambao wanaofanikiwa wana wainsipire kufight.
Jamaa inaelekea haamini kama mtu anaweza anzia chini akapanda akawa juu
 
Aisee we jamaaa una PhD ya u hater
 
AY hawezi kununua nyumba Marekani, huo ndiyo ukweli, Marekani siyo sawa na kutoka Kigoma na kuja kununua nyumba Tandika, ni ngumu sana kununua nyumba Marekani

Nyumba ya Ay anayosema kaikodi kwa mkataba na baada ya miaka kadhaa ataiachia nyumba

.................Mzee unaweza kutuwekea hapa ushahidi wa haya uyasemayo?may be tweet ya dalali aliyemkutanisha na mwenye nyumba aliyopanga?

Maana hapa tunasoma AY kasema mwenyewe kwa kinywa chake kwamba anamiliki nyumba USA sasa Great Thinkers tunaweza tusikuelewe kwa huto tumistari twako tuwili ulitoandika hapo juu.
 
We acha hizo porojo.

Je AY amelipwa kama Mahakama ilivoamuru?

Hata Manji alipewa hisa 90% ya TiGO.
Kasota nayo miaka zaidi ya saba afu kaporwa tena [emoji23][emoji23][emoji23]

Hao ndio TiGO.
AY atasubiri sana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
We acha hizo porojo.

Je AY amelipwa kama Mahakama ilivoamuru?

Hata Manji alipewa hisa 90% ya TiGO.
Kasota nayo miaka zaidi ya saba afu kaporwa tena [emoji23][emoji23][emoji23]

Hao ndio TiGO.
AY atasubiri sana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu kama hufahamu kitu bora upige kimya. Baada ya hukumu hiyo walifungua kesi ya kuexecute hiyo hukumu ambapo walipewa muda tigo iwalipe otherwise washikirie mali zao na kuzipga mnada.
Anyway kama we waona haiwezeknai its up to you ila ninachoandika nina hakika nacho 100%.
 
Ay hawezi kununua nyumba state hutaki kuamini basi chief.... Case closed....
 
AY hawezi kununua nyumba Marekani, huo ndiyo ukweli, Marekani siyo sawa na kutoka Kigoma na kuja kununua nyumba Tandika, ni ngumu sana kununua nyumba Marekani

Nyumba ya Ay anayosema kaikodi kwa mkataba na baada ya miaka kadhaa ataiachia nyumba
Marekani wanakataa maskini kama una ela yako ya kwenda ukanunua nyumba mbona wanakupokea tu.... Marekani ni sehemu rahisi sana kuingia as long as una pesa kitu amabcho hawataki ni maskini kwenda kuongeza umaskini kule. In really sense hakuna nchi ambayo imeendelea inayokataa wanaohamia wenye pesa, Denmark mwaka huu walikuwa wanataka wahamiaji ili mradi uwe na ela isiyopungua dollar 60,000 kwa ajili ya makazi.
 
UONGO!

These extra ordinary claims you are putting forward here need extra ordinary proofs,tupe proof washalipwa!

Weka copy ya hukumu hapa,hukumu sio kitu cha siri ni public document,attach hapa mzozo uishe!
 
Unaonekana hata sio mfuatiliaji wa masuala ya burudani, hii story ya AY kumiliki nyumba states imetoka more than 6 or 4 months ago..


Ilitoka tena alivyooa tu,shida ni UONGO!

Tupeni address ya hiyo nyumba mengine tuachieni tukuleteeni majibu hapa!

Majitu MAONGO ni majinga sana!
 
Tupe ushahidi wa unayoongea acha blah blah na chuki zisizo na maana. Ww ulikua meneja wake mpk unakataa kiasi alichokua anapata? au ww ni mtu wa karibu yake sana kujua bank account yake ina kiasi gani??

Una claim kua anacho sisi tunasema ni UONGO,nyie wekeni proof hapa kua anamiliki hivyo mnavyodai anamiliki!

Waongo wakubwa!
 

Hakuna hukumu yoyote ishatoka na hakuna mtu kalipwa chochote!

Na plus,kama madai ni 2.1Bilioni,then wagawane watu watatu halafu mmoja wao akanunue nyumba ya 1.5Bilion Los Angeles California?Mlisoma hesabu chooni?

You people what are you smoking?
 
ACHA UJINGA ACHA UJINGA ACHA UJINGA kumchukia Mwanaume mwenzio anayetafuta kwa jasho lake ni UNAHA na wewe tafuta zako sio kila sehemu unamponda jamaa kama Mungu hajakujalia wewe basi usiwaseme wenye nazo ACHA UJINGA ACHA UJINGA ACHA UJINGA

Sijachukia mtu...Nachukia jitu zima lenye mvi hadi za matakoni linadanganya umma wa watu milioni 55 sababu ya ka-single alikokatoa kama Hamorapa ili apate kiki...

Is AY this low?

Ngendembwe tupu!

Kila hesabu tulizopiga zinamkataa kabisa....Numbers dont lie but AY lies!
 
Story za vijiweni,Joe Kusaga aliishi USA miaka 10?
 
Kumiliki nyumba US sio mchezo mchezo....alafu kuna utitiri wa kodi...kama mjengo ni wake....hongera kwake lkn kama ni kiki basi jamaa ni bonge la fala....

Kumiliki nyumba US siyo ngumu kivile. Kama ni mkazi halali na kama credit history yako ni super, Bank yoyote inakupa loan ya kununua nyumba! Kodi itakayokuwa kubwa baada ya Mortgage itakuwa ni Property Tax ambayo unaweza kuigawanya nusu ukawa unalipa mara mbili kwa mwaka! Hizi zingine sijui Gas, umeme, maji ni za kawaida tu! Hakuna sehemu rahisi kununua nyumba kama US!
 
Huwezi kumpinga mtu kama humjui hapa kuna mawili la kwanza mnajuana kabisaaa na Ay na kuna kitu alikufanyia ndo maana humsahau katika akili yako na kama humjui kabisaa utakuwa ni mwehu mkubwa sana kumpinga wakati humjui so katika haya kuna moja lazima unalo kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…