AY akiri kumiliki nyumba Marekani

AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Nilicheki conversation yak twitter anasema aliandaa show mwaka 2005 akalipwa m150+ na pia alikua anahusika kuwaleta wakina EVE, Fat joe alikua anachukua m100+
Dah....[emoji41]
Cc: TRA
 
Mzee,sijui kwanini mtu aki-refute lies anaonekana hater!

tangu lini mtu muongo akiwekwa wazi anajitetea aliemuweka wazi ni hater?

Tangu lini AY akalipwa milioni 150 kwa show?Ni pure lies!

Kwanini watu waongo namna hii?Ukisema ukweli kuna ubaya gani?
Lakini ni ukweli kuwa:

Sallam SK na AY kuna biashara wanafanya pamoja tena kwa muda mrefu tu.

Clouds fm wamekuwa wakimtumia Sallam SK kuleta wasanii wakubwa hapa nchini, case study ni Davido mpaka akakutana na Diamond wakafanya My Number one ( rmx ) na badaye kuamua kufanya kazi pamoja kama manager na msanii.

Hivyo hisia zako kwamba Clouds wamekuwa wakileta wasanii wakubwa bila udalali siyo za kweli.
 
Mkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!

Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!

AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!

This makes AY look more stupid with these lies!

Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!

Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!

Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!

Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.

AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?

Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?

Tusifanyane watoto kabisa!
Mbona povu sana mkuu au maisha yamebana ukaamua upumue kupitia thread hii ambayo kimsingi haikuhusu hahahaha
 
Nilicheki conversation yak twitter anasema aliandaa show mwaka 2005 akalipwa m150+ na pia alikua anahusika kuwaleta wakina EVE, Fat joe alikua anachukua m100+
Wabongo msiwe vilaza kiasi hicho,Ay alifanya show ya million 150 wapi??? Mkoa gani? Kiingilio kilikuwa sh.ngapi??? Wabongo muwe mnajiongeza basi,
 
Hichi ndicho alichosema mkuu @nukta5Jifunze kusoma uelewe na upinge ukiwa na ushahidi. ALIANDAA SHOO.... nathani unaelewa hapoUkweli wako ni upi na uongo wake ni upi
Hakuna msanii Tanzania ambaye amewahi kufanya show kwa million150 bongo, wabongo msiwe vilaza kiasi hicho, hiyo show ilikuwa mkoa gani na kiingilio kilikuwa sh ngap
 
Lakini ni ukweli kuwa:

Sallam SK na AY kuna biashara wanafanya pamoja tena kwa muda mrefu tu.

Clouds fm wamekuwa wakimtumia Sallam SK kuleta wasanii wakubwa hapa nchini, case study ni Davido mpaka akakutana na Diamond wakafanya My Number one ( rmx ) na badaye kuamua kufanya kazi pamoja kama manager na msanii.

Hivyo hisia zako kwamba Clouds wamekuwa wakileta wasanii wakubwa bila udalali siyo za kweli.
Clouds wamewaleta wasanii wakubwa kutoka Marekani miaka yoooote kipindi hicho huyo SK yuko anasoma secondary forest hill moro huko

Ije kua kwa bwana mdogo davido wa hapo Naija ndio wapate connection kupitia kwa SK.

IMPOSSIBLE
 
Mkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!

Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!

AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!

This makes AY look more stupid with these lies!

Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!

Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!

Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!

Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.

AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?

Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?

Tusifanyane watoto kabisa!
Mbona povu mjomba
 
Sasa kama unasema humjui kwa nini unabishana?hujioni kama ni mjinga?

Simjui in a personal level.....Na anavyo-claim anavyo ni vitu public ambavyo ni cross-checkable kabisa....

Angesema ana upele matakoni hiyo anaweza prove mwenyewe coz yeye ndio ana hayo matako kayabeba...Ila akisema ana gari,ni something public na inaweza kua verifiable!

Na kumbuka AY ni public figure in a way so stop unaaa!
 
Mkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!

Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!

AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!

This makes AY look more stupid with these lies!

Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!

Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!

Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!

Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.

AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?

Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?

Tusifanyane watoto kabisa!
Una bifu nae nn mzee mbona povu.Kwanza umekosea AY hajasoma Iyunga kasoma Ifunda.
 
Kasoma Ifunda na nimekubali nimekosea...Iyunga na Ifunda ni competitive schools,ni watani wa jadi,na majina yanaanzia na I,nika confuse,ni really Ifunda na sio Iyunga...

To add hapo nikasema alisoma na mshikaji wangu darasa moja kabisa sasa hivi ni marehemu Kulembeka Yollam,kama unabisha go and research this!
 
Mkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!

Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!

AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!

This makes AY look more stupid with these lies!

Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!

Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!

Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!

Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.

AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?

Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?

Tusifanyane watoto kabisa!
Ndugu kama ulikua hujui Ay ni broker wa wasanii wote wa kimataifa wanaukuja bongo na afrika mashariki, hata huyo mond bado anatumia mtandao wa Ay kufikia malengo yake.
 
Broker?

Niggaz,are you high?

AY has never been connected like Diamond is....na kua broker,what do you really mean?

Unajua how to book an international artist for a show or collaboration?Unajua process?

Na hiyo process inapitia kwa AY?Are you thinking using you butt or your head?

You people are in drugs!
 
Back
Top Bottom