Ni NYIMBO ya muda mrefu sana nafikiri wakati huo watoto wa 2000 WALIKUWA bado hawaja vunja ungo, so alikuwa anaongelea watu wa miaka ya 90's na 80's.
Kumbe bhana UMASIKINI ni Moja ya factor ambayo inaweza kukufanya usipate mke au mpenzi.
Hivyo basi huu wimbo inaniambia kwamba endeleeni kutafuta pesa wanawake wote sio tu wa 2000 wanataka pesa na ukiwa na pesa wewe huwezi kuwa masikini hatakama sio tajiri.
Si unaona rafiki Yako analelewa na mama wa 70's lakini bado anamuendeaha wakati yeye ni kapuku na kajoin kapuku forum.
Nilikuwa nausikiliza huu wimbo nikawa napata kidogo mida mida.