Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili kuwe na mlolongo wa matukio katika pichaKuvalishana Pete ya Uchumba ndio fashion siku hizi!
Walitumia uzazi wa mpango (kondom, kitanzi...........)Hivi unawezaje kuishi na mwanamke chini ya dari moja kwa miaka nane halafu hata tumbo haliumuki?
Hawa watu waende kwa Mwingira wakapate maombi, huenda kuna shida kwenye mfumo wa uzazi...
ni kweli kabisa miaka nanne pete ya uchumba ya nini wangefunga tu mdoaSasa kama amesha ishi naye miaka 8 pete ya uchumba ya nini,hapo kinachotakiwa ni kuoa tu hiyo stage ya pete ya uchumba wameshaivuka tayari,au mie ndio sielewi...
Bora huyu kajua kuchagua mrembo alafu anaonekana wife material
naomba nnifanye booking aisee, kama vipi njoo pm tuyajengempaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Teh teh wameamua wafuate protocol maana waliruka hiyo stage!Kumvisha pete mtu uliyeishi naye miaka nane ni comedy au ulimbukeni?
Sent from my Kimulimuli
Huna obedience ndyo maana huto olewa mapemampaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Nitaelewa hilo kwa mtu aliyefanya hilo kwa mwaka au miaka miwili.Teh teh wameamua wafuate protocol maana waliruka hiyo stage!
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
NdioKwani wengine hawajui?
Miaka nane?Acha tu amuoe sasa.
Mbona CIO mingi hebu kwnye kujua uchumba wa master j na shaa unamiaka mingapi atuambie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Miaka nane?Acha tu amuoe sasa.