AY amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Remy aliyeishi nae kwa miaka nane

Hivi unawezaje kuishi na mwanamke chini ya dari moja kwa miaka nane halafu hata tumbo haliumuki?
Hawa watu waende kwa Mwingira wakapate maombi, huenda kuna shida kwenye mfumo wa uzazi...
Walitumia uzazi wa mpango (kondom, kitanzi...........)
 
Sasa kama amesha ishi naye miaka 8 pete ya uchumba ya nini,hapo kinachotakiwa ni kuoa tu hiyo stage ya pete ya uchumba wameshaivuka tayari,au mie ndio sielewi...
ni kweli kabisa miaka nanne pete ya uchumba ya nini wangefunga tu mdoa
 
Hizi 'come and we stay' ni ku gamble. Wengine wanaishi a kumwagana baada ya kupika, kufua, kusafisha nyumba na mengineyo unaanza dating game again. Hongera zako wachumba tunawatakia kila la kheri katika safari ya ndoa
 
mpaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
naomba nnifanye booking aisee, kama vipi njoo pm tuyajenge
 
mpaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Huna obedience ndyo maana huto olewa mapema
 
Teh teh wameamua wafuate protocol maana waliruka hiyo stage!

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Nitaelewa hilo kwa mtu aliyefanya hilo kwa mwaka au miaka miwili.

Miaka nane?

Hapo unatangaza ndoa watuvwanakuuliza kumbe hujamuoa? Sisi tulifikiri umemuoa zamani tu.

Sent from my Kimulimuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…