AY amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Remy aliyeishi nae kwa miaka nane

du hhaahahahahahahahahah 8 yrs ? aiseee hatar sana sasa mbona wadada wa mmjin ukimtokea tu within three month anaanza kununa ukimuuliza why anakwambia hajui mwisho wenyi shwain kumbe kuna watu wanamwaga mitindo 8 yrs alaf wako kawaida wala hawastuki
Hahahaaa!!
 
Binti inaelekea anapenda orange colour.
 
lisa ana miaka 14 ndio baba na mama yake wanavishana pete ya uchumba na kufunga ndoa eti
 
Mtoto kama uyo naitaji wiki tu kuweka ndani miaka 8?
 
Huyo mke wake analipa visa permit uhamiaji maana sio m-Tanzania. Watu wa uhamiaji fuatilieni huyo mtu huenda hajalipia visa tangu aingie nchini.
 
Mwenye picha zaidi za mrembo huyuu...
 
Nitaelewa hilo kwa mtu aliyefanya hilo kwa mwaka au miaka miwili.

Miaka nane?

Hapo unatangaza ndoa watuvwanakuuliza kumbe hujamuoa? Sisi tulifikiri umemuoa zamani tu.

Sent from my Kimulimuli
Sisi tungeita kubariki ndoa

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…