Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hadi ulitabasamAY naona mambo safi kanenepa mwenyewe
Huyu waliachana siku nyingi sana, AY aliwahi kuhojiwa na salama jabir kipindi cha mkasi akasema huyu dada alimzingua hakuwa wzi kwa AY na alikuja kuonesha wazi hayupo tayari kuwa na AY so jamaa akajikata akamuacha dada huru.Ana wangapi?
Hi mwanamke anaweza muacha mtu kama AY?Huyu waliachana siku nyingi sana, AY aliwahi kuhojiwa na salama jabir kipindi cha mkasi akasema huyu dada alimzingua hakuwa wzi kwa AY na alikuja kuonesha wazi hayupo tayari kuwa na AY so jamaa akajikata akamuacha dada huru.
Dah! mkuu unatisha kwani AY ana nini labda cha kuzuia mwanamke kumuacha na kwenda na mwanaume mwingine? mbona wa kawaida tu?Hi mwanamke anaweza muacha mtu kama AY?
Pesa na UmaarufuDah! mkuu unatisha kwani AY ana nini labda cha kuzuia mwanamke kumuacha na kwenda na mwanaume mwingine? mbona wa kawaida tu?
Haaahaaaaa! hana pesa ya kuizungumzia huyu, na ujue kuna watu hawapendi umaarufu wanajali zaidi future iliyo bora, inawezekana kapata mwanaume ana pesa ndefu kuliko ya AY.Pesa na Umaarufu
True thatHaaahaaaaa! hana pesa ya kuizungumzia huyu, na ujue kuna watu hawapendi umaarufu wanajali zaidi future iliyo bora, inawezekana kapata mwanaume ana pesa ndefu kuliko ya AY.
kama ni meno ya asili ina maana hata akibadili watoto watakaozaliwa watakuwa hivyo, unataka kunambia hawa wanao badilisha matako ya kichina watazaa watoto wana matako?????Huyu naye mihela lukuki kurekebisha dental formula hataki...we binti wa yemen atakuharibia watoto huyu
[emoji16] [emoji16] [emoji16]kama ni meno ya asili ina maana hata akibadili watoto watakaozaliwa watakuwa hivyo, unataka kunambia hawa wanao badilisha matako ya kichina watazaa watoto wana matako?????
Huyo hapo chini ndiye mchumba wa AY na ana asili ya Yemen na visiwa vya Shelisheli. Hapo ilikuwa Jumapili iliyopita Club Bilicanas. Amesema katika harusi yake hatachangisha michango kama baadhi ya wasanii au watu wanavyofanya.
View attachment 122777
Ndio huyu aliyevalishwa Pete? au mwingine?
Huyu mwingine penzi liliingia shubirii sku mingiiiMbona hafanani na yule wa mwanzo alovalishwa pete
Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
Sasa miaka nane na huyo wa shelisheli ilikua 2013 which is which?Huyu mwingine penzi liliingia shubirii sku mingiii
Kuanzia hao bongo fleva hadi wanaoleta habari zao hapa, ni pipa na mfuniko.Sasa miaka nane na huyo wa shelisheli ilikua 2013 which is which?
Post sent using JamiiForums mobile app
Hahahah mecheka sanaKuanzia hao bongo fleva hadi wanaoleta habari zao hapa, ni pipa na mfuniko.