AY amuweka wazi mchumba wake

AY amuweka wazi mchumba wake

Duh na Hawa mademu wazuri wa sura nimegundua ninwabovu sana na wachafu aisee. Hii ni personal level. Unakaa na demu mkali Ila chupi anavaa siku nzima mpaka kesho yake dah.

Anyway ndio maisha. Hawa wanawake wa siku hizi wanatufanya tunatengeneza watoto wanaoishi kwenye mazingira yasiyo ya kifamilia tunaharibu sana jamii Hawa wanawake .
Wachafu sana na mifangas, hawako serious
 
kweli, wenye wanawake wazuri mtuombee tu, wakati mwingine una nyimwa mzigo bila sababu ya msingi, unapewa akitaka.. hawasomeki.. ukiwa na backup napo
Backup hairuhusiwi ukiwa na mke mzuri😅😅😅 inabidi upambane nae tu
 
Ile couple ilikuwa bomba yaani perfect comboo
Haiwezi kuwa perfect ndio maana hawakudumu! Ay alimpenda manz sababu kafanana na mama yake kwa sura 😅 kwa minajili hio ulitegemea nini!
 
Haiwezi kuwa perfect ndio maana hawakudumu! Ay alimpenda manz sababu kafanana na mama yake kwa sura [emoji28] kwa minajili hio ulitegemea nini!
Ay....alifeli Sana. Yan km alipagawa na sura. Ameonyesha weakness kubwa ...Angemuiga bestie take Mwana FA. .
 
Huyo hapo chini ndiye mchumba wa AY na ana asili ya Yemen na visiwa vya Shelisheli. Hapo ilikuwa Jumapili iliyopita Club Bilicanas. Amesema katika harusi yake hatachangisha michango kama baadhi ya wasanii au watu wanavyofanya.

View attachment 122777
Kama kumbukumbu zangu ni sahihi, AY huyu hakuwahi kuoa mrembo wa Kinyarwanda miaka michache iliyopita? au ndoa hiyo ilishavunjika!
 
Back
Top Bottom