AY amuweka wazi mchumba wake

AY amuweka wazi mchumba wake

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
3,695
Reaction score
5,042
Huyo hapo chini ndiye mchumba wa AY na ana asili ya Yemen na visiwa vya Shelisheli. Hapo ilikuwa Jumapili iliyopita Club Bilicanas. Amesema katika harusi yake hatachangisha michango kama baadhi ya wasanii au watu wanavyofanya.

IMG_7501.jpg
 
Huyu naye mihela lukuki kurekebisha dental formula hataki...we binti wa yemen atakuharibia watoto huyu
 
Back
Top Bottom