HapanaNi AY tu ndo amekushawishi au?
Mambo mazuri hayataki haraka...ona Mzee 'Many' ameopoa kitu chake fresh juzijuzi tu na wanakula maisha kwa raha zao.Yaan Ay na umri wote huo kumbe bado hajaoa, hivi na mtoto anaye kweli?
Wacha we! Wamarangu ndio wanyarwanda wa TzMmmh Marangu hamna kitu
ndiyo hivyo mkuuWatu wanajiopolea tu
maisha yanaenda au sio
Mzazi gani wa AY anatokea Rwanda??Yeye mwenyewe Ay ana asili ya huko Rwanda so amerud kwao
hahahahahah anaye mchumba.Muambie na LeMbebez aoe
letamkoz,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Mzazi gani wa AY anatokea Rwanda??
Mzazi gani wa AY anatokea rwanda?Yeye mwenyewe Ay ana asili ya huko Rwanda so amerud kwao
Bichwa sio kichwa kama chakoHuyu dem nilikuwa namfukuzia akawa anachomoa, kumbe AY ndo alikuwa anampa bichwa...
Nafikiri ni mama. Ila ata mimi kuna demu namfahamu ni mnyarwanda uwa anasema ni mdogo wake Ay ila sipatagi connectionMzazi gani wa AY anatokea Rwanda??
Nijuavyo mm jamaa ana asili ya mbeya ..lkn inawezekanaNafikiri ni mama. Ila ata mimi kuna demu namfahamu ni mnyarwanda uwa anasema ni mdogo wake Ay ila sipatagi connection