AY amuweka wazi mke wake mtarajiwa

AY amuweka wazi mke wake mtarajiwa

Yaan Ay na umri wote huo kumbe bado hajaoa, hivi na mtoto anaye kweli?
Mambo mazuri hayataki haraka...ona Mzee 'Many' ameopoa kitu chake fresh juzijuzi tu na wanakula maisha kwa raha zao.
 
hahahahahah anaye mchumba.
Thanks sana Shule yako kule kwenye excel imenisaidia sana kwenye mambo yangu.
Asante mkuu.. January nitakuja Kwa kasi huko.. Nipo najiliwaza kwanza huku Kwenye ubuyu...
 
Back
Top Bottom