AY amuweka wazi mke wake mtarajiwa

Hivi Amani ndio alizingua?
Ndio...sijui alipawa na nini akampiga chini jamaa!

Sikiliza ile party zone ya AY inasemekana alimuimbia amani!
Kuna mstari unasema " Sikia hii ndio fact usiact like you do know, the way you treat me ulishanipa somo"
 
Ngoja niitafute
 
Kama ni mtusi ajue mimba itabebwa ya rwanda otherwise mtoto atakayezaliwa awe na dental formular mbovu kama ya baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…