Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Ndio...sijui alipawa na nini akampiga chini jamaa!Hivi Amani ndio alizingua?
Sikiliza ile party zone ya AY inasemekana alimuimbia amani!
Kuna mstari unasema " Sikia hii ndio fact usiact like you do know, the way you treat me ulishanipa somo"