AY amuweka wazi mke wake mtarajiwa

AY amuweka wazi mke wake mtarajiwa



Mmh kumbe nayeye ana kitu yake kutoka Kwa Kagame?

Hivi kumbe Amani alichezewa tuu?

Huyu na Amani nani mkali? [emoji16]

1482844483640.jpg
 
Khaaa sio kwa ubachela huo! Miaka 35 sio masihara!!
Hongera sana AY.....Amani alizingua roho itakua inaumaje!
 
Kwa nini kila mtu saivi wanakimbilia kwa kagame?kunani.....
 
Yaan Ay na umri wote huo kumbe bado hajaoa, hivi na mtoto anaye kweli?
 
Back
Top Bottom