AY & FA: Bilioni 2 za tigo ni hela za kawaida sana kwetu, tushazikamata sana

AY & FA: Bilioni 2 za tigo ni hela za kawaida sana kwetu, tushazikamata sana

Hayo juwa wewe, mimi ukikosea nnakusahihisha.
Huna unachokijua ambacho mimi sikijui.

Halafu pili ,kumsahihisha mtu sio tatizo bali tatizo unamsahihisha mtu hali ya kuwa wewe mwenyewe hujui hapo ndipo unaponikera.

Mfano,mtu badala ya kuandika neno Kuraakaandika Kulahalafu na wewe unakuja kumsahihisha unamuandikia kura=kula hapo wewe ndio utaonekana mjinga kuliko huyo aliyekosea kuandika kwa maana ukiweka alama ya sawasawa inamaanisha hayo maneno yana maana sawa yaani kwa lugha nyepesi inamaanisha kuwa atakaye andika neno kula ni sawasawa na atakaye andika neno kura kitu ambacho si cha kweli.


Nadhani mpaka hapa utakuwa umenielewa wewe kigagula unayejikuta unajua kumbe mweupe kabisa kichwani.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini.
Kwa mziki gani au biashara gani.
Mwezenu alidai ana bil,8 benk.wakampelekea kodi ya mil 400.jicho lilimtoka kama fundi saa kapoteza nati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika tumekuwa Malofa na Wapumbavu kabisa yani kilicho ongelewa kwenye hiyo video na kilicho andikwa ni vitu tofauti kabisa na sote tumefata mkumbo.
 
Hakika tumekuwa Malofa na Wapumbavu kabisa yani kilicho ongelewa kwenye hiyo video na kilicho andikwa ni vitu tofauti kabisa na sote tumefata mkumbo.
Kaka tatizo la waafrika ni sugu halina tiba. Hakuna tofauti ya wasioenda shule na waliokwenda. Kusoma, kutafsiri na kusikiliza kwa makini ni matatizo humu kwa hawa juniors.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mama Tibaijuga alisema pesa mboga kwani nyie Ay na mwanaFA mna asili ya bukoba nini [emoji85][emoji85][emoji85]
 
Kwa muziki upi walizishika labda Kama kuna biashara zingine nyuma ya pazia
 
Wakitembelewa na TRA wasije wakalia maana hiyo habari ni good news kwao, wakiaangalia kodi mnalipa kiasi kidogo halafu huku mapato yenu ni makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom