Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kibongo bongo bilioni 2 ni hela za kawaida?
Wanacheza hao.
Wanacheza hao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamuziki AY na FA wamedai kiasi cha fedha bilioni 2.1 mahakama iliyoamuru Tigo iwalipe ni hela za kawaida kwao kwa sababu wameshakamata hela kama hizo mara nyingi
Wamesema wao wametoa kama mwongozo kwa wasanii wengine kudai haki zao inawezekana
Wamesema hata wakipokea fedha hizo hutawaona wamepost kwenye mitandao ya kijamii kama wasanii fulani wanavyofanya na kusema wao sio washamba wa kiasi hicho
Pia wamedaisiku hizi hawapo karibu tena kama zamani kwa sababu maisha yao yamebadilika na ukaribu unabadilika pia
Mnampa kiki tu huyu msichana.
$1m hata kwa standard za marekani ni hela mingi sana,hawa jamaa wanajikweza labda kama wanabeba za kina salah.It's same like $1m ata wasanii wamarekani wangepagawa,.
A wap kwa Salah apa story tu kula kale kwenu$1m hata kwa standard za marekani ni hela mingi sana,hawa jamaa wanajikweza labda kama wanabeba za kina salah.
Mjinga ni wewe usiyejua matumizi ya alama ya sawasawa.= miradi
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Salah anapata wapi hela yake$1m hata kwa standard za marekani ni hela mingi sana,hawa jamaa wanajikweza labda kama wanabeba za kina salah.
Salah ni mmoja ya wale jamaa wa home shoping center zamani,silent ocean,GSM ,alosko na makampuni mengine kibwenaSalah anapata wapi hela yake
by emma mjasiriamali
Ndio yule anayempa kampani diamond...au tofautiSalah ni mmoja ya wale jamaa wa home shoping center zamani,silent ocean,GSM ,alosko na makampuni mengine kibwena
Aisee dimond anapewa kampani na watu wengi so siwezi jua unamzungumzia yupi.mcheki insta anajiita counselorsalahNdio yule anayempa kampani diamond...au tofauti
by emma mjasiriamali
Wanamuziki AY na FA wamedai kiasi cha fedha bilioni 2.1 mahakama iliyoamuru Tigo iwalipe ni hela za kawaida kwao kwa sababu wameshakamata hela kama hizo mara nyingi
Wamesema wao wametoa kama mwongozo kwa wasanii wengine kudai haki zao inawezekana
Wamesema hata wakipokea fedha hizo hutawaona wamepost kwenye mitandao ya kijamii kama wasanii fulani wanavyofanya na kusema wao sio washamba wa kiasi hicho
Pia wamedaisiku hizi hawapo karibu tena kama zamani kwa sababu maisha yao yamebadilika na ukaribu unabadilika pia
Wanamuziki AY na FA wamedai kiasi cha fedha bilioni 2.1 mahakama iliyoamuru Tigo iwalipe ni hela za kawaida kwao kwa sababu wameshakamata hela kama hizo mara nyingi
Wamesema wao wametoa kama mwongozo kwa wasanii wengine kudai haki zao inawezekana
Wamesema hata wakipokea fedha hizo hutawaona wamepost kwenye mitandao ya kijamii kama wasanii fulani wanavyofanya na kusema wao sio washamba wa kiasi hicho
Pia wamedaisiku hizi hawapo karibu tena kama zamani kwa sababu maisha yao yamebadilika na ukaribu unabadilika pia
Ukisikia puu ujuwe limempata!Mjinga ni wewe usiyejua matumizi ya alama ya sawasawa.
Wamedai wamezikamata sana lakini siyo kuzimiliki, kumbukeni Mwana Falsafa aliwahi kufanya kazi benki. Mimi mwenyewe nimeshika sana mpaka B100, ila Jana nimepigwa faini trafc kwasababu Gari yangu ina matairi kipara na sina mpango Wa kununua leo wala kesho maana fedha imenikalia hovyoAisee kweli maisha hatufanani..wengine hadi tunakufa hatutobahatika kushika hata bilion moja