Foxy uko vyema yaani hupitwi na kosa unarekebisha lazina tutanyooka humu JF, nafikiri nikimaliza tu kuandika na mm utaninyoosha.... Heko kwa miongozo yako= miradi
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Sasa itaniuma vipi? Kwani mimi ndio uliyeniita mjinga?Ukisikia puu ujuwe limempata!
Inauma?
Sasa itaniuma vipi? Kwani mimi ndio uliyeniita mjinga?
Halafu kitu kingine ,embu jibu kwa hoja acha kuruka kiunzi.
Unajua matumizi ya alama ya sawasawa?
Huna unachokijua ambacho mimi sikijui.Hayo juwa wewe, mimi ukikosea nnakusahihisha.
nnakusahihisha ndio kiswahili gani hicho?Hayo juwa wewe, mimi ukikosea nnakusahihisha.
Kaka tatizo la waafrika ni sugu halina tiba. Hakuna tofauti ya wasioenda shule na waliokwenda. Kusoma, kutafsiri na kusikiliza kwa makini ni matatizo humu kwa hawa juniors.Hakika tumekuwa Malofa na Wapumbavu kabisa yani kilicho ongelewa kwenye hiyo video na kilicho andikwa ni vitu tofauti kabisa na sote tumefata mkumbo.
Ndio yule anayempa kampani diamond...au tofauti
by emma mjasiriamali
Hapo nimekuelewaWe unamzungumzia salaam sk meneja wa Diamond...huyu mwingine anaitwa Salah mmoja wa wamiliki wa GSM ndo mshkaji wake Fa
acha kujikatisha tamaaAisee kweli maisha hatufanani..wengine hadi tunakufa hatutobahatika kushika hata bilion moja
Mjinga ni wewe usiyejua matumizi ya alama ya sawasawa.