AY & FA: Bilioni 2 za tigo ni hela za kawaida sana kwetu, tushazikamata sana

Nyinyi mataahira wa JF muwe mnapima habari. AY na FA hawawezi kuzungumza maneno hayo. Hao watu wako vema upstairs. Mleta mada acha upotoshaji pumbavu watoto wa JF.
Haaaa haaaaa haaaa jamani nimecheka eti matahira WA jf
 
Elimu
nnakusahihisha ndio kiswahili gani hicho?

Umeona ulivyo empty box?

Halafu mwenyewe unajikuta mjuaji kumbe hamna kitu ,watu tunakuchora tu unavyojishaua.
Aliyo nayo Faiza wewe na kizazi chenu hamtakaa muipate .
Jinga kubwa kabisa wewe
 
Elimu
Aliyo nayo Faiza wewe na kizazi chenu hamtakaa muipate .
Jinga kubwa kabisa wewe
Sasa mimi na wewe nani mjinga?

Huyo Faiza ni wa kawaida sana,na vitu vingi hajui ,huwa anawaonea mapopoma kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…