AY: Hakuna Rapa mkali Tanzania zaidi ya Joh Makini

Watasema na AY wa Arusha kisa kamsifia. Anyway kwa upande wangu mimi tangu mwaka huo wa 2006 tumepata A list rappers wawili Joh Makini na Chid Benz, but Joh is the best kwakuwa ameweza kumaintain kwa muda mrefu tofauti na Chid.
 
N
swala sio katoka lini bali ni kulingnisha nan mkale!!
Naona unaendelea kubishana. AY amesema kuwa kwa Marapper waliotoka kuanzia mwaka 2006 Joh Makini ndio kasimama mpaka Leo. Hajasema kwa muda wote. Sasa MwanaFA hajatoka 2006 so hausiki katika kundi la waliotoka 2006.
 
Mkuu nadhani ww ndio ujamuelewa kama ni hivyo a ngetaja wasanii walioanza na John tu hasingemuweka ngosha maana niwa kitambo sana

Ngosha katajwa kwenye ishu ya kujitangaza tu...hajasema Joe ni mkali kuliko FID.
Ila Joe tangu atusue hakujaja mwingine akawa mkali kuliko yeye.......
 
Joh Makini ana bebwa, tuwe wa kweli, japo sina maana kuwa hana uwezo kabisa.

Iceman 3D
Rapa mkali Bongo NI STAMINA tu waliobakia
Wanapiga kelele tu.MoroTown a.k.a mji kasoro NI mkali sanaaaaa
 
nimejaeibu kusikiliza hii ngoma ya WAYA aliyoitoa jana MWAMBA WA KASKAZINI isee ni kweli kabisa alichosema AY
 
Hamujaelewa kamanisha kuanzia mwaka huo wasanii wachanga ambao wametoka hakuna wa kumuzid siyo kwamba ndo rapa mkali kuzid wote nchii hii tangu huo mwaka
Kama hivyo ndavyo, kwanini kamgusa Fid-Q?
 
Mkuu nadhani ww ndio ujamuelewa kama ni hivyo a ngetaja wasanii walioanza na John tu hasingemuweka ngosha maana niwa kitambo sana
AY alitaka kumfikishia ujumbe Fareed Kubanda. Ingawa amejaribu kurukaruka kama maharage yanayo taka kuiva, Ila mwisho likamtoka kama kikohozi.

Hamujaelewa kamanisha kuanzia mwaka huo wasanii wachanga ambao wametoka hakuna wa kumuzid siyo kwamba ndo rapa mkali kuzid wote nchii hii tangu huo mwaka
 
Naona wameamua kumuokoa joh makini na hili swala la mbeleko....Nani mwingine kuibuka kumtetea huyu BWANA!!
I love rap music I love it. Na zaidi napenda sana rap/hip hop musician akisimamia kile alichokiamini. As for Joh Makini yule wa "hao" sio huyu wa combo combo....kabadilishwa ili aje na hizi redio tracks....streams songz .....hapo ndio napomtoa kuwa among the best.
Fid Q will stay there coz he never change no matter what.
 
Joh Makini ana bebwa, tuwe wa kweli, japo sina maana kuwa hana uwezo kabisa.
Be serious bana hebu fanya observation mwenyewe
1. Youtube subscriptions + total views
2.followers kwenye social media outlets i.e instagram,facebook,snap chat etc.
3. No. of Intnl collabo
4. Interviews and endorsement
Na mengine kibao ya namna hiyo alafu umejiegemeza unaandika joh anabebwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…