Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unaendelea kubishana. AY amesema kuwa kwa Marapper waliotoka kuanzia mwaka 2006 Joh Makini ndio kasimama mpaka Leo. Hajasema kwa muda wote. Sasa MwanaFA hajatoka 2006 so hausiki katika kundi la waliotoka 2006.swala sio katoka lini bali ni kulingnisha nan mkale!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]FA ametoka 2006?/Unakichwa kigumu kweli...
Mkuu nadhani ww ndio ujamuelewa kama ni hivyo a ngetaja wasanii walioanza na John tu hasingemuweka ngosha maana niwa kitambo sana
Joh Makini ana bebwa, tuwe wa kweli, japo sina maana kuwa hana uwezo kabisa.
nimejaeibu kusikiliza hii ngoma ya WAYA aliyoitoa jana MWAMBA WA KASKAZINI isee ni kweli kabisa alichosema AY![]()
Rapa AY amefunguka na kusema kuwa toka mwaka 2006 mpaka sasa hakuna rapa ambaye ameibuka na kuwa mkubwa zaidi ya Joh Makini.
AY amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kudai kuanzia mwaka 2006 baada ya Joh Makini kuingia kwenye kundi la 'A list' ya rapa wazuri bongo hakuna rapa mwingine ambaye ameingia kwenye kundi hilo, ila amesema wapo rapa wamekuwa wakijitahidi lakini wanaishia 'B, C na D list' ya rapa wakali bongo.
"Toka mwaka 2006 hakuna rapa amekuwa mkubwa zaidi ya Joh Makini hapa bongo, wapo wanajitahidi lakini wengi wanaishia 'B, C na D list' hata Roma Mkatoliki ni rapa mzuri anajitahidi, lakini natoa ushauri tu kuwa rapa tunatakiwa kuongeza nguvu ya kujitangaza na kazi zetu, maana unaweza kuwa unaweza sana lakini bila kujitangaza huwezi kuonekana" alisema AY
Mbali na hilo AY alitoa ushauri tena kwa wasanii wa hip hop Bongo na kuwataka kutengeneza brand zao na kazi zao kwa kutafuta 'interview' mbalimbali na watu mbalimbali ndani na nje ya Tanzania ili kuongeza wigo wao na kutanua mipaka ya kazi zao.
"Unajua hata rafiki yangu Fid Q nilishawahi kumwambia hata kama wewe ni mkali na unajijua ni mkali sana kitu kikubwa unachohitaji ni kujitangaza , hivyo rapa tunahitaji kujitangaza sana na kutangaza kazi zetu, tujaribu kutafuta Interviews mbalimbali, nataka kuona rapa wetu mwaka 2017 wanashiriki matamasha makubwa, wajiongeze nina uhakika tutafanya makubwa zaidi" alisema AY
Mwana FA yupo kundi muda mrefukamtosa swahiba wake FA..
FA yupo kundi A muda mrefuMwana FA yupo kundi muda mrefu
Ni kweli anabebwa na uwezo wake!Joh Makini ana bebwa, tuwe wa kweli, japo sina maana kuwa hana uwezo kabisa.
Kama hivyo ndavyo, kwanini kamgusa Fid-Q?Hamujaelewa kamanisha kuanzia mwaka huo wasanii wachanga ambao wametoka hakuna wa kumuzid siyo kwamba ndo rapa mkali kuzid wote nchii hii tangu huo mwaka
AY alitaka kumfikishia ujumbe Fareed Kubanda. Ingawa amejaribu kurukaruka kama maharage yanayo taka kuiva, Ila mwisho likamtoka kama kikohozi.Mkuu nadhani ww ndio ujamuelewa kama ni hivyo a ngetaja wasanii walioanza na John tu hasingemuweka ngosha maana niwa kitambo sana
Hamujaelewa kamanisha kuanzia mwaka huo wasanii wachanga ambao wametoka hakuna wa kumuzid siyo kwamba ndo rapa mkali kuzid wote nchii hii tangu huo mwaka
Mkuu.....Joh Makini ana bebwa, tuwe wa kweli, japo sina maana kuwa hana uwezo kabisa.
Ohoooooo....[emoji15] [emoji15]Poor thinking capacity.
Very stupid response
Mimi sibishi, kwa vile nauhakika Joh anabebwa na ngoma zake kaliMkuu.....
Atakae kubishia uniite
Tatizo stamina anaunga unga mno mistariIceman 3D
Rapa mkali Bongo NI STAMINA tu waliobakia
Wanapiga kelele tu.MoroTown a.k.a mji kasoro NI mkali sanaaaaa
Be serious bana hebu fanya observation mwenyeweJoh Makini ana bebwa, tuwe wa kweli, japo sina maana kuwa hana uwezo kabisa.