MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
AY na mrembo wake toka RPF kigali wamefanikiwa kupata mtoto ambaye jina la ubatizo ataiwa AVIEL huku lile la nyumbani ataitwa Gwamaka kaihula (king crazy GK) kama shukrani ya jamaa kumuweka kwenye ramani