AY kapata mtoto wake wa kwanza, kampa jina la Aviel

AY kapata mtoto wake wa kwanza, kampa jina la Aviel

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
IMG_20180813_095444_775.jpg

AY na mrembo wake toka RPF kigali wamefanikiwa kupata mtoto ambaye jina la ubatizo ataiwa AVIEL huku lile la nyumbani ataitwa Gwamaka kaihula (king crazy GK) kama shukrani ya jamaa kumuweka kwenye ramani
 
Hongera zake AY na Mkewe.

Gwamaka ukue katika mapenzi ya Mungu.
 
Back
Top Bottom