MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mos defKwa hiyo Aviel ni mmarekani sio?
Trump anabadili upepo kila siku huko. Ingawa sidhani kama lengo ni kumpa mtto wao uraia wa USA lakini mambo ya uraia si kama zamani huko. Sera zinabadilika sana chini ya Trump.Kwa hiyo Aviel ni mmarekani sio?
Hao nasikiaga lazima iwe damu yao lakini,mmmmmView attachment 834326
AY na mrembo wake toka RPF kigali wamefanikiwa kupata mtoto ambaye jina la ubatizo ataiwa AVIEL huku lile la nyumbani ataitwa Gwamaka kaihula (king crazy GK) kama shukrani ya jamaa kumuweka kwenye ramani
Kweli mkuuHao nasikiaga lazima iwe damu yao lakini,mmmmm