mwanajamii mpya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 554
- 445
Marekani sio ulaya, BossUlaya ulaya tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marekani sio ulaya, BossUlaya ulaya tu
Marekani sio ulaya, Boss
SorryWajuaji bana.
Hivi inamaanisha huyo dogo ni raia wa marekani??View attachment 834326
AY na mrembo wake toka RPF kigali wamefanikiwa kupata mtoto ambaye jina la ubatizo ataiwa AVIEL huku lile la nyumbani ataitwa Gwamaka kaihula (king crazy GK) kama shukrani ya jamaa kumuweka kwenye ramani
Hujui ay ni msanii halipwi na serikali ? Ay yeye hasikitiki kutokuongezwa mshahara kwa miaka 3 .hasikitiki kutokulipwa madeni yake serikaliniHongera ambwene
Dogo kazaliwa texas, alafu kuna watu wanasema vyuma vimekaza
Nimecheka sana[emoji23]mkuu usifanye hivyo kuna dada yangu anakupenda
Ni kweli ila hao hao wasanii kuna wengine wanalia lia njaaHujui ay ni msanii halipwi na serikali ? Ay yeye hasikitiki kutokuongezwa mshahara kwa miaka 3 .hasikitiki kutokulipwa madeni yake serikalini
Lazima tukubali kuwa maisha hivi sasa ni magumu mkuuNi kweli ila hao hao wasanii kuna wengine wanalia lia njaa
Ni kweli ila kama hili la dstv vijana wengi wameajiliwa sasa tunakoenda sijui kwakweliLazima tukubali kuwa maisha hivi sasa ni magumu mkuu
Viwanda na migodi imefungwa.na kuna uwezekano dstv nao wafunge virago watu wakose ajira
Hongera naweweHongera kwake...ni raha sn unapoweka bao halaf linakuwa binadamu,bado nakumbuka siku ambayo nilipata mtt wangu wa kwanza
Hongera nawewe
WakwanzaHongera ya mtt wa ngap sasa? Nina watt 4