Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Wakwanza
Zimechelewa sn hizi hongera mwanangu wa kwanza yupo darasa la 4 nw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakwanza
We nae embu pokeaga bana..Zimechelewa sn hizi hongera mwanangu wa kwanza yupo darasa la 4 nw
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mtoto amezaliwa na uraia wa marekani safi sana....wengine hata mlango wa ubalozibwa marekani tu hatujawahi kuugusa😀
We nae embu pokeaga bana..
Nani kakuuliza?Babake na mke wa A.Y ni mwarabu anaishi karagwe anaitwa NASSOR BARUTI alivomuowa huyo mama kuna kama ubaguzi ulitokea ndugu wa jamaa wakawa kama wanambagua kisa kaoa mswahili.Basi yule mama akaamua kuondoka na wanawe akaenda kwao Rwanda ni hayo tu.
🤣🤣🤣 kinachokupa stress kinatoka WAPI kipato cha buku unahonga LAKI.Endelea kujibebesha mzigo kichwa cha SAMAKI.Unaendesha familia kwa pesa za KUBETI[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nani kakuuliza?
Heh!Baada unipe utamu unanipa hongera iliyochacha
Heh!
Acha ubishi sisi tunachojua nchi zote za wazungu ni ulaya.....Marekani sio ulaya, Boss
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3]mtoto amezaliwa na uraia wa marekani safi sana....wengine hata mlango wa ubalozibwa marekani tu hatujawahi kuugusa😀
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hongera ambwene
Dogo kazaliwa texas, alafu kuna watu wanasema vyuma vimekaza
ahhha huyo ameelewaWajuaji bana.
Suala la uraia mi suala nyeti sana, moja wapo ya haki ya msingi ya binadamu baada ya haki ya kuishi ni pamoja na haki ya uraia.Trump anabadili upepo kila siku huko. Ingawa sidhani kama lengo ni kumpa mtto wao uraia wa USA lakini mambo ya uraia si kama zamani huko. Sera zinabadilika sana chini ya Trump.
Kwasasa makazi yake ni huko sasa mkewe angejifungulia wapi mkuu kama sio huko hukoColonial mindset zimemharibu ay ..kwa hyo anaona mtoto wake kupata uraia marekani ni big deal ee!!