shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,430
- 3,547
acha uongoAda ya urubani ni sh million 22 kwa miezi 3. Halafu inachukua miaka 5. Sasa huyo AY anazo hizo hela au anajishaua tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha uongoAda ya urubani ni sh million 22 kwa miezi 3. Halafu inachukua miaka 5. Sasa huyo AY anazo hizo hela au anajishaua tu?
You're totally wrong, nina ndugu yangu HGL na amemaliza kozi yake South Africa as we speak ni intern at Ethiopan Airlinematokeo ya ay ya o level yalikuwaje,,,na advance pia maannachojua mpaka uwe rubani lazima ujue physics na pure mathematics
nchi za wenzetu elimu hata ya dalasa la 7 anarusha ndegematokeo ya ay ya o level yalikuwaje,,,na advance pia maannachojua mpaka uwe rubani lazima ujue physics na pure mathematics
HIVI UNAMCHUKULIAJE KIFEDHA AY? UNADHANI HUYU NI KAMA DOMO ANAYEUNGA UNGAAda ya urubani ni sh million 22 kwa miezi 3. Halafu inachukua miaka 5. Sasa huyo AY anazo hizo hela au anajishaua tu?
Mmh kweli?Ada ya urubani ni sh million 22 kwa miezi 3. Halafu inachukua miaka 5. Sasa huyo AY anazo hizo hela au anajishaua tu?
Zamani wakitumia vigezo hivyo ili kupunguza ushindani. Urubani ni kama dereva wa lori hauna issue kuhusu elimu. Ukiwa form iv hata kama wa chuo kikubwa cha Dodoma unaendesha tu.matokeo ya ay ya o level yalikuwaje,,,na advance pia maannachojua mpaka uwe rubani lazima ujue physics na pure mathematics
Travolta anamiliki ndege zake mbili na anazi Park nyumban kwake..ata hayoo masomo hayajui ila ana leseni za kurusha ndege nchi yoyotematokeo ya ay ya o level yalikuwaje,,,na advance pia maannachojua mpaka uwe rubani lazima ujue physics na pure mathematics
unaijua elimu yake au ndo stry za vijiweni???Travolta anamiliki ndege zake mbili na anazi Park nyumban kwake..ata hayoo masomo hayajui ila ana leseni za kurusha ndege nchi yoyote
Mil 22?,Chuo gani hicho?...Ada ya urubani ni sh million 22 kwa miezi 3. Halafu inachukua miaka 5. Sasa huyo AY anazo hizo hela au anajishaua tu?
matokeo ya ay ya o level yalikuwaje,,,na advance pia maannachojua mpaka uwe rubani lazima ujue physics na pure mathematics
Ay Amenunua lini private jet?[emoji15]
Best comment ever! Ha ha ha!Bora yake kila laheri akarushe ndege, wengine hata vocha tu zimewashinda kurusha