AY kuwa rubani

AY kuwa rubani

matokeo ya ay ya o level yalikuwaje,,,na advance pia maannachojua mpaka uwe rubani lazima ujue physics na pure mathematics
You're totally wrong, nina ndugu yangu HGL na amemaliza kozi yake South Africa as we speak ni intern at Ethiopan Airline
 
matokeo ya ay ya o level yalikuwaje,,,na advance pia maannachojua mpaka uwe rubani lazima ujue physics na pure mathematics
Zamani wakitumia vigezo hivyo ili kupunguza ushindani. Urubani ni kama dereva wa lori hauna issue kuhusu elimu. Ukiwa form iv hata kama wa chuo kikubwa cha Dodoma unaendesha tu.

Kule hakuna ukipanga wala ukilaza wote wanaendesha tu. Shule za maana ni udaktari, engineering, uchumi, uhasibu hao wanatumia vichwa.

Janja janja kama sheria, sociology, utawala, sanaa na mengineyo nje ya hayo ya juu.
 
Haya mbona ya kawaida? Rapa mkali Kaka Sungura wa Kenya aliyeimba na Rich Mavoko sasa ni mhadhiri wa chuo kikuu cha Zetech, huko Kenya.
 
matokeo ya ay ya o level yalikuwaje,,,na advance pia maannachojua mpaka uwe rubani lazima ujue physics na pure mathematics
Travolta anamiliki ndege zake mbili na anazi Park nyumban kwake..ata hayoo masomo hayajui ila ana leseni za kurusha ndege nchi yoyote
 
Travolta anamiliki ndege zake mbili na anazi Park nyumban kwake..ata hayoo masomo hayajui ila ana leseni za kurusha ndege nchi yoyote
unaijua elimu yake au ndo stry za vijiweni???

fatilia historia ya bob saambeki
 
hivi kumbe ukizeeka unakuwa na stress eeeh kurusha ndege labda iwe binafsi na sio kuajiriwa! ila hata njiwa ni ndege
 
Hkama mnamkumbuka yule dada ruban aliyehojiwa na salama kwenye alielezea vizuri sana ishu za urubani ingieni youtube
 
matokeo ya ay ya o level yalikuwaje,,,na advance pia maannachojua mpaka uwe rubani lazima ujue physics na pure mathematics

KABLA HUJAJUA MATOKEO YA O-LEVEL AU A-LEVO YA AY... UNATAKIWA UJUWE MATOKEO YA STD 3 YA MAREHEMU BABU SAMBEKE (R.I.P) ALIYEPATA AJALI YA HELICOPTER YAKE KULE ARUSHA.
 
Ay Amenunua lini private jet?[emoji15]

"SIO BUSARA KUJIFUNZA KUENDESHA GARI AU HATA KUTUMIA SILAHA YA MOTO WAKATI HUNA UHAKIKA WA KUWA NACHO HICHO CHOMBO UNACHOJIFUNZA KUKITUMIA".... KWA MANTIKI HIYO... HAIINGII AKILINI KWA AY KUJIFUNZA KUENDESHA NDEGE ILI KESHO AKAE GHETO KWAKE ANATAZAMA VYETI VYAKE AU AKAAJIRIWE PRECISSION AIR NA MZIGO WA KUNUNUA NDEGE ANAO (REFER USHINDI WA KESI ALIYOSHINDA YEYE NA MWANA FA)
 
Back
Top Bottom